Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja.
Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni
walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni
mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna
Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake.
Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu
zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... wengi wanamiliki mabucha.
Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja
kudai kisu chake.
4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili
umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana
lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake wa
machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.
5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi
maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume
huwa vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari.
Wanazurura mjini na mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru jiandae kulea
kichaa.
6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa
Kirua ni wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume wao
hawaoi kwao.. Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa gharama.. lakini siku
wakija mjini watatu tu utadhani wako mia.
7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa
nyumba, japo hawajengi kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi
kuanzia Moshi mjini, maana ni wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye
mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na
kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!
Kilaza
No comments:
Post a Comment