Thursday, May 21, 2015

PICHA: Leo ni Kumbukumbu ya Kuzama kwa MV Bukoba Miaka 19 Iliyopita na Kusababisha Vifo vya Watu Zaidi ya 1000


Mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21,1996.
Picha ya kumbukumbu  iliyokuwa ikionekana wakati wa ajali hiyo ya MV Bukoba

No comments:

Post a Comment