Wednesday, May 27, 2015

Kama wewe ni mmoja wa wanaopenda vitu vizuri hizi hapa ni njia za gharama nafuu kabisa za kuboresha bafu lako

Haya wapendwa..kama una hela kidogo tu unaweza kufanya haya kupendezesha bafu lako..ila kama huna basi ridhika kubaki na bafu outdated..

1. Badilisha mfuniko wa choo, na hii huwa inauzwa peke yake bila bakuli..hata maduka kama game unapata.

2. Put a frame around your mirror. 

3. Throw down some new bath mats. 

4. Kwa ajili kuta za bafu mara nyingi ni za tile basi jazia grout upya.

5. Badilisha bomba zilizopo.
6. If you have a freestanding sink weka cabinet chini yake. 

7. Add a cabinet over the toilet if you are lacking a linen closet. 

8. Pick out a new shower curtain.

9. Get as much natural light in the bathroom as possible. If there is no window, use natural light bulbs to brighten up the bathroom
Pro.com

No comments:

Post a Comment