Jana nimekuwa na deliveries 3. Naelewa ni kwa kiasi gani ulivyo busy na hizi foleni za jiji. Nunua chochote toka kwangu ninakuletea hadi kwenye kiti chako.
Suruali za jeans na za kukamata mwili mtindo wa taiti zipo size zote. Jumla na rejareja. Tupo Sinza Kamanyola Bei 28,000 tu Ukihitaji tukuletee ulipo tunakuletea. Mikoani tunatuma. Usiporidhika unarudisha. 0755 200023
Pendezesha ukuta wa sebule yako kwa wallpaper na saa za ukutani. Mrejesho toka kwa mteja aliyefurahia saa ya ukutani toka kwangu. Tupo Sinza Kamanyola 0755 200023
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha shilingi milioni 40.4 hela za Escrow alizokuwa ameingiziwa na James Rugemalira katika akaunti yake kwa ajili ya kusaidia jimbo.
Ngeleja amesema ingawa alipewa fedha hizo kama sehemu ya msaada ameamua kurudisha fedha hizo ili kukwepa kashfa hiyo ya Escrow.
Mtangazaji maarufu wa redio ya EFM ndugu Seth Katende maarufu kama bikira wa kisukuma amefariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Seth atakumbukwa kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha ubaoni. Msiba uko nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es Salaam. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
Mwanamuziki mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia leo saa mbili asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu kwa takriban wiki mbili, mwanaye Hamad Dede amethibitisha.
Hamad Dede amesema mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar es Salaam, na kwamba ratiba na taratibu zote zitatangazwa mara zitakapokamilika kupangwa.
Nyota wa kipindi cha luninga cha maisha halisi cha kutoka Marekani cha Keeping up with the Kardashians amecharuka na kuanza kumtuhumu na kuposti picha na video za uchi za star mwingine ambaye ni Blac chyna na mama wa mtoto wao mmoja Dream, akiwa na wanaume wengine. Nyota huyo amedai kuwa si chini ya mwezi mmoja Blac Chyna alitembea na wanaume nane. Hali imekuwa taharuki mitandaoni kiasi kwamba uongozi wa instagram ukafikia uamuzi wa kufunga akaunti ya Rob. Mastaa wengine wa nchini humo ambao ni pamoja na Snoop dog na TI wameamua kuingilia kati na kumtaka Rob aache kuleta mambo binafasi instagram kwani kama aliamua kuoa malaya atulie aache kusumbua watu na kama ana hela sana aende akanunue mwingine.
Wakili Jerome Msemwa amejitoa kwenye kesi namba 213/2017 inayomkabili Raisi wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake kwa kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.
Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amelazwa katika taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili na atasomewa mashtaka yake hapohapo. Yadaiwa tayari maafisa wa mahakama wameelekea hospitalini hapo kwa ajili ya kumsomea ndugu Yusufu Manji mashtaka yanayomkabili.
Suruali za kisasa za wanawake za kukamatia chini size zote rangi ya kijani jeshi, damu ya mzee na bluu zipo. Bei 28,000 Tupo Sinza Kamanyola Mawasiliano 0755200023
Mkoba/ Pochi / Handbag golden silver unatundika begani au unabeba mkononi. Best quality. Bei 45,000 Tupo Sinza Kamanyola Tunapelekea popote Ukitaka nikuongeze kwenye group la maingizo mapya nijulishe 0755200023