Kinachotakiwa kufanyika ni kuniletea carpet lako kwa kuwa tuna pressure washer ya kuweza kulipiga maji, kuweka detergent na kulisugua hadi mabaki yote ya vyakula (eg ubwabwa wa sikukuu) na vimiminika vyote vitoke. Baada ya hapo tunaanika kwenye jua kali kwa siku mbili na zulia lako linakuwa tayari kama jipya. Kuamua kufua zulia kwa maji inaweza kuchangiwa pia na uchafu mwingine wowote kama vile vumbi na tope.
Karibu sana ian car wash tung'arishe tena carpets zako. Tuwasiliane 0755200023
carpets zilizofuliwa, kukauka na kukunjwa |
mteja yuko tayari kupelekewa carpets zake kwenye gari |
hizi nazo ni za mteja mwingine zinamsubiri |
hizi hazijakaula hivyo tumetandaza ndani tuanike tena kesho |
No comments:
Post a Comment