Tuesday, November 12, 2013

Xmas hiyoo iko njiani yaja

anza kujikusanyia mapambo na kufikiria zawadi za sikukuu kama hivi...


hata ukimfungashia vimapochopocho ataona umemthamini

santa asisahaulike

vijibwa na xmas tree

vi bag kama hivi navyo waweza kuvifikiria kama zawadi. zawadi tu ndogo ndogo ila itaonyesha unajali. ila ukiona wa nini naye potelea mbali..naupenda huu wimbo...mchaga na taarabu...tumooo

rangi za xmas ni nyekundu na nyeupe. meza ya mahanjumati inang'aa u xmas

muonekano wa meza toka juu

chocolate nazo zimo

vidungurushi kibwena vya kupambia

No comments:

Post a Comment