Ni faraja unapouza bidhaa kwa mteja na kugundua kuwa ameridhika. Hakuna ubishi kwamba hizi glass ni nzuri. Kununua njoo 0755 200023. Kuona bei bonyeza vinavyouzwa hapo juu. Asante
Friday, April 29, 2016
Mrejesho wa wateja walionunua glass za Misri
Ni faraja unapouza bidhaa kwa mteja na kugundua kuwa ameridhika. Hakuna ubishi kwamba hizi glass ni nzuri. Kununua njoo 0755 200023. Kuona bei bonyeza vinavyouzwa hapo juu. Asante
Thursday, April 28, 2016
Wednesday, April 27, 2016
Neti bora za mbu kutoka Thailand na Uturuki
Wakati huu wa masika mbu wanazaliana sana usikubali mwanafamilia kupata malaria. Kununua njoo 0755 200023
Namna ya kusafisha feni
Feni
kama vilivyo vifaa vingine vya nyumbani, zinatakiwa kusafishwa mara kwa mara.
Endapo utakaa muda mrefu bila kuisafisha, uchafu na vumbi linajilimbikiza
kwenye mapanga yake na uchafu huo kusambaa ndani ya chumba pale unapoiwasha,
ikiacha fenicha na
Tuesday, April 26, 2016
VINAVYOUZWA: Saa ya Ukutani, Dinner Set, Table Mats
Saa ya ukutani
Dinner set sahani za square 6, round 6, vikombe/mug 6 na bakuli 6
Table mats pc 6. Kununua njoo 0755 200023. Kufahamu bei click kwenye vinavyouzwa. Asante
Faida za Mabafu ya Cubic
Kwa
nyumba za kisasa za nyakati hizi, wenye nyumba wengi wanapenda kutumia mabafu
ya cubic. Haya ni mabafu ambayo ni kichumba kidogo cha kuogea ambacho
kinasimikwa ndani ya chumba cha bafu. Mengi ya mabafu haya ni ya kioo na mara
yanaposimikwa yanaweza kudumu maisha yakie
Monday, April 25, 2016
Glass nzito na imara kutoka Misri zipo
Nyumba ni glass, hata watoto wako wadogo acha kuwapa maji au juisi kwenye vikombe vya plastiki. Ni muhimu wazoee ustaarabu wa glass. Na nzuri zaidi kama ujuavyo vitu toka Misri ni pambe sana tu. Kununua njoo 0755 200023
Mishumaa yenye Manukato
Kila mtu anachotaka kwenye maisha yake ni upendo. Mishumaa hii yenye manukato inaongeza mahaba chumbani. Kununua njoo 0755 200023
Je, velveti ni kitambaa kizuri kwa sofa?
Ingawa
kuchagua kitambaa cha sofa ni changamoto, kuchagua malighafi iliyotengenezea kitambaa
sahihi kwa sofa inaweza kuwa changamoto zaidi. Ni vyema kufahamu kuwa malighafi
kuu sokoni kwa ajili ya vitambaa vya sofa ni pamba, hariri na velveti. Vitambaa
vyovyote
Wednesday, April 20, 2016
Jinsi ya kuchagua rangi ya kuta na vitu vya nyumba
Muonekano
wa nyumba kwa sehemu kubwa unachukuliwa na rangi na ndipo naweza kujiamini kwa
kusema nyumba ni rangi. Karim Msheki
ambaye ni mtaalam wa kuchanganya rangi anatueleza maana na namna ya
kuchagua rangi tunapotaka kupendezesha nyumba zetu.
Anasema,
Tuesday, April 19, 2016
Maeneo 7 unayotakiwa kuondoa mrundikano angalau mara moja kwa juma
Kuna
maeneo nyumbani ambayo ni kama sumaku inayovuta vitu vinaavyoingia nyumbani.
Maeneo haya yanakuwa na mrundikano hata ujitahidi kiasi gani kuyafanya yawe
nadhifu. Ila kwakuwa huwezi kuweka kila inchi ya nyumba yako nadhifu kila
sekunde, unaweza kuweka maeneo haya huru na
Monday, April 18, 2016
Vitu 7 ambavyo kila chumba cha kulala kinavihitaji
Chumba
kilichokamilika kina kuta, mlango, dari na dirisha. Kwenye makala hii
tunaangalia vitu vinavyohitajika ndani ya chumba kamili cha kulala.
Chumba
chako cha kulala ndio sehemu yako takatifu, je kwanini
Wednesday, April 13, 2016
TABLE MATS HUSAIDIA MEZA ISIKWARUZIKE NA PIA KUIPENDEZESHA WAKATI WA CHAKULA
Hakika mitindo mbalimbali na rangi za kuvutia za table mats hupendezesha meza ya chakula. Kununua click kwenye vinavyouzwa.
Shughuli za kufanya kwenye bustani yako kipindi hiki cha masika
Mimea ya kwenye bustani ambayo ni
pamoja na miti, maua na ukoka inahitaji maji kwahivyo majira haya ya mwaka kwa
wapenda bustani ndio wakati sahihi wa kuiboresha. Ni wakati wa vifaa kama chepe,
reki, mkasi, panga, mabuti na toroli kutolewa stoo kwenda kushughuli
Tuesday, April 12, 2016
Njia 7 za kuweka mpangilio kwenye makabati ya jikoni
Je unaishi kwa hofu ya kitu kukudondokea kichwani pale unapofungua
makabati ya jikoni? Au labda unajikuta
ukitoa
karibia nusu ya vitu kabatini
ili kupata kile kitu kimoja unachokihitaji? Kupata suluhisho la kadhia hii fuatana nami katika njia hizi 7 nilizokuandalia za kuweza kuweka mpangilio kwenye
makabati ya jikoni kwako.
Ni vyema kwanza tufahamu
kwamba ili kuweza kuweka mpangilio mahali unahitaji ongezeko la
Thursday, April 7, 2016
Happy Karume Day Wapenzi..
Wengi wa Watanzania walioajiriwa leo ni siku ya mapumziko. Natumai utapitia nyumba yako kuona ni wapi panahitaji kupendezesha kwa kupamba, kuweka mpangilio au kutunza..
Wednesday, April 6, 2016
Rangi za nakshi kwa ajili ya ukuta wa nje wa nyumba kutoka Aqua Deco
Kuna cha ziada katika
kuchagua muonekano wa ukuta wa nje wa nyumba badala ya kuamua tu kupaka rangi
nyeupe kwa mfano. Kwa nyakati za sasa wenye kujenga wengi wanapendelea
kuweka kuta za nje za nyumba zao katika
hali ya ukisasa zaidi. Mbali na rangi laini za kawaida zilizozoeleka toka zamani ambazo ni maarufu
kwa kuta za ndani, kuna rangi mpya nyingi za nakshi kwa ajili ya
Tuesday, April 5, 2016
Mazingira ya makazi yako ni utambulisho wako
Kila mtu anachagua ni vipi anataka
mazingira ya nyumbani kwake yawe. Ingawa tunaweza tusijali kuhusu uchaguzi huo
lakini mazingira yetu ni picha kubwa kutuhusu. Una nafasi ya kutengeneza mazingira
ambayo yatarahisisha maisha yako ama yatayafanya yazidi kuwa magumu.
Monday, April 4, 2016
Kanuni kuu mbili za kuwezesha chumba kidogo kionekane kikubwa
Linapokuja
swala la kufanya chumba kidogo ndani ya nyumba kionekane kikubwa au hata ndani
ya nyumba ndogo kuonekane ni kukubwa na kumfanya aliyemo kupata hisia ya nafasi
zaidi, kuna kanuni kuu mbili muhimu unazotakiwa kuwa nazo kichwani. Kanuni hizo
ni kwanza kuruhusu
Saturday, April 2, 2016
VYOMBO IMARA NA VILIVYOTIMIA VINARAHISISHA MAISHA YA JIKONI
Seti ya sufuria 6 na visu vyake
Vijiko uma na visu pisi 72
Visu vya makali
Sufuria kubwa 3 zenye ubora wa kimataifa.
Vyote ni kutoka Uingereza, kununua njoo 0755 200023
Friday, April 1, 2016
PICHA: MITO YA MAPAMBO YA KWENYE MAKOCHI
Polka dot ya bluu kwa ajili ya kupunguza rangi nzito
Polka dot nyeusi
polka dot ya maroon
polka dot nyeupe
Velvet ya zambarau
Kitu cha maua.
Kununua njoo whatsapp 0755 200023
Subscribe to:
Posts (Atom)