Wednesday, February 18, 2015

KUTOKA KWANGU: Mashine ya kufulia ni hitaji la msingi na sio starehe

Kila binadamu anahitaji kitu/jambo la kumrahisishia maisha. Kwa wengi ambao wanaona umuhimu wa kuonekana smart na kuwa na mwelekeo kwenye vitu muhimu zaidi kwao, kumiliki mashine ya kufulia ni muhimu na sio anasa. Washing mashine ni moja kati ya vifaa vya nyumbani ambavyo vitakufurahisha mno, na hata kama maji ni ya kununua kwa madumu usijali kwani utai command manually. Unaweza kufulia humo mataulo mashuka na nguo za watoto za kushindia. Nguo za kutokea zinapaswa kufanyiwa prewash kwanza kabla ya ku load kwenye mashine. Next time nitaongelea kwa kina kuhusu prewash.

No comments:

Post a Comment