Wednesday, September 28, 2016

Hatua za kusafisha milango na madirisha ya kioo


Kusafisha madirisha na milango ya kioo nyumbani ni moja ya kazi ambayo inawezekana unaipa wasafishaji wa nje waifanye kwa kuhofia kuwa ni ngumu. Japo kiukweli haipaswi kuwa kazi ngumu, kama unajua mbinu na hatua sahihi za kupitia ili kufanikisha kwa urahisi. Zifuatazo ni hatua za kupitia ili kufanikisha kusafisha maeneo yenye vioo yang’ae kabisa.

·        Pangu muda wa kusafisha
Safisha muda ambao jua halipigi moja kwa moja kwenye kioo.
Jua kali linakausha dirisha mapema mara unapoanza kuliloanisha kabla ya

Monday, September 26, 2016

Dondoo nne za kuzingatia unapotaka kununua duveti


Kwa wengi wenye makazi ya kisasa duveti limekuwa sehemu muhimu ya matandiko yao. Sio tu linapendezesha kitanda na chumba kwa ujumla, lakini pia linamsaidia mlalaji kupata uzingizi murua. Unapotaka kununua duveti utashangazwa na aina nyingi na za kuvutia zilizopo sokoni ikiwa ni pamoja na mapya na ya mitumba ambapo inaweza kukuchanganya kuwa ni lipi hasa ununue.

Bi Eve Moshi wa kampuni ya Eve Beddings Mwenge simu namba 0713 681 261 ambao ni

Sunday, September 25, 2016

Jinsi ya kuchagua rangi ya kupaka dari

Dari naweza kuliita ni ukuta wa tano wa chumba lakini, mara nyingi haipati rangi nyingine zaidi ya nyeupe. Kwa muda mrefu toka nyumba za kisasa ziwepo, nyeupe imechukuliwa sio tu kama rangi salama bali pia sahihi kwa ajili ya dari. Kuna wakati kweli nyeupe inaweza kuwa ndio chaguo muhimu na pekee, lakini kama hujawahi kufikiria rangi nyingine mbali na

Tuesday, September 20, 2016

Rangi hizi 8 za sofa hazitakuangusha

Sio siri kuwa kununua sofa ni hela nyingi. Kama utaweza kuchagua ya rangi sahihi ni kwamba hutajutia. Pamoja na changamoto unayoweza kukutana nayo wakati wa kuchagua rangi ushauri wangu ni kwamba chagua  ambayo haitakubana katika kupendezesha sebule yako.
Sofa ya kati ya rangi hizi zifuatazo itakupa wigo mpana wa kupendezesha ndani kwa

Friday, September 16, 2016

Jinsi ya kuchagua mtindo sahihi wa wallpaper

 
Tunaweza kusema kuwa wallpaper ndio habari ya mjini kwa sasa kwa ajili ya kupendezesha vyumbani kwenye nyumba nyingi za kisasa hasa chumba che sebule. Tatizo lililopo ni changamoto ya mtindo upi ndio sahih kutokana na

Tuesday, September 13, 2016

Maswali matano ya kujiuliza kabla hujanunua sofa

 
Sofa mpya ni gharama na kwa bei ya chini kabisa ya seti nzima si chini ya shilingi milioni moja. Nimehojiana na wauzaji na wabunifu wa sofa na kuwauliza utaalam wao wa nini mnunuzi azingatie kabla ya kuanza mchakato wa kununua sofa.
Chukulia utaalam huu kama ni maswali ambayo unatakiwa kujiuliza wewe unayehitaji sofa mpya.

·         Je linatimiza lengo unalokusudia?
Mara zote fikiria ni kwa jinsi gani sofa litafanya kazi ndani ya sebule yako. Unatakiwa ukilikalia ujisikie burudani na

Sunday, September 11, 2016

Urembo wa kutumia gypsum






Kutana na Butunga Decorations ni mafundi wabunifu wa mambo ya kisasa kwa kutumia gypsum bord bei zao ni nafuu kulingana na kile ulichokipenda popote ulipo.

Saturday, September 10, 2016

Makundi matatu ya taa za ndani ya nyumba ya kisasa

Tunapotaka kupendezesha nyumba zetu, tunajikuta tuna vingi vya kuzingatia. Tunakuwa makini kwenye kuchagua rangi na michoro iliyopo kwenye kuta, fenicha na sakafuni. Lakini ni mara chache tunapeleka umakini huohuo kwenye taa na jinsi mwanga wa taa unavyoweza kubadili muonekano wa namna chumba kinavyoonekana. Kutokana na hilo ni

Thursday, September 8, 2016

Kabati la nguo la chuma ni suluhisho jepesi na la haraka


 
Kabati la nguo la chuma ni mkombozi kwako wewe unayeteseka kwa kukosa eneo la kuhifadhia nguo zako. Katika hatua fulani ya maisha wengi wetu tulishakumbana na hili tatizo, labda ni kwenye hosteli, chumba kidogo au kwenye nyumba ya kupanga ambapo huwezi kufanya marekebisho makubwa kwakuwa wewe sio mmiliki. Kuweka mpangilio ndani ya nyumba inawezekana kuwa rahisi kabisa na

Monday, September 5, 2016

Rangi zinazopendeza jikoni

Kuanzia kwenye kuchagua rangi ya makabati, kuta, sakafu na dari jiko ni chumba chenye maeneo mengi ya kutumia ubunifu wako wa kuchagua rangi. Ila tatizo wengi wanajiuliza ni kwa namna gani wanaweza kuchagua rangi ambazo zitafanya chumba hiki kionyeshe mshikamano wa rangi hizo. Kutokana na uwepo wa

Nawatakia mwanzo mwema wa wiki friends!

Tembea kifua mbele ukiamini kuwa unaweza..

Saturday, September 3, 2016

Faida za kuwa na vimeza vidogo vya pembeni




Vimeza vya pembeni ni vimeza vidogo vya kando ambavyo vina msaada mkubwa  na tofauti tofauti katika chumba chochote. Kama hukuwa navyo, utakavyokuwa navyo utashangaa ni kwa namna gani uliweza kuishi bila kuwa navyo.

Vipo vilivyotengenezwa kwa malighafi mbalimbali lakini kama unahitaji vimeza vya kando imara ambavyo vinaweza kudumu miaka mingi basi chaguo namba moja ni

Thursday, September 1, 2016

Namna ya kupanga na kupendezesha kabati la vyombo



Bila shaka kabati la vyombo ndio fenicha kubwa zaidi kwenye chumba chako cha chakula ikifuatiwa na meza, kwa maana hiyo linachukua nafasi kubwa zaidi ya muonekano wa chumba hicho.

Kwa kawaida muundo wa kabati la vyombo una sehemu mbili. Ipo sehemu ya juu  yenye