Tuesday, November 15, 2016

Lotion hii ni kwa ajili yako wewe mwenye ngozi kavu

Optimals ni lotion kwa ajili ya mwili wako endapo una ngozi kavu..ooops, huenda unajiuliza utajuaje kama una ngozi kavu au ya mafuta. Ni kweli inawezekana hujui au unajua sivyo au huna uhakika. Tunapima ngozi na kujielewa kwa uhakika una ngozi ya aina gani ili kutumia vipodozi sahihi.

Optimals inasaidia kurutubisha ngozi na kuipa muonekano wa ung'avu tena. Wasiliana nami  0712 613 418 kwa oda. Tupo Moroko na unaweza kutumiwa/kuletewa popote ulipo.
 Bei ni elfu 19 tu.
Karibu sana

Namna ya kuchagua marumaru za sebuleni

Naomba ingia instagram @mtotomagazine u like picha hii. Asante sana 

Wakati tunapokuwa tunaendelea kufikiri muonekano wa nyumba zetu iwe ni mpya inayoendelea kujengwa au ni ya zamani unayofanyia marekebisho, chumba ambacho tunazingatia sana ni sebule. Kwanini? Bila shaka ni kwasababu ni chumba ambacho yoyote awe mgeni au mwenyeji ana uhuru wa kukaa anapokuwa ameingia ndani. Kwahivyo, ni

Monday, November 14, 2016

Tafadhali ka like hii picha instagram @mtotomagazine

Hello msomaji wangu popote ulipo upande wowote wa dunia, iwe upo Tanzania, Kenya, Netherlands, Iceland, US, UK, France, India, Oman, Canada na kwingineko. Nashukuru nimefanikiwa kuingia kumi bora ya picha bomba za mzazi na mtoto/watoto.

Hivyo basi nakuomba tafadhali nenda instagram kwenye account ya mtotomagazine u like picha hii ili ishinde. Like zinavyouwa nyingi ndio na ushindi unakuwa kibindoni. Asante sana nakupenda!

Saturday, November 12, 2016

Je, unajua aina ya ngozi yako?


Friends!
Aina ya ngozi inatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapo wenye ngozi ya mafuta, kavu, kavu zaidi, mchanganyiko au kawaida. Ni vyema unaponunua kipodozi cha kutumia usoni ujue kwanza aina ya ngozi yako ili uweze kupata matokeo sahihi unapotumia kipodozi kuendana na aina ya ngozi yako.

Tunapima aina za ngozi na kukushauri aina ya vipodozi sahihi kwako. Usikubali kuzeeka pasipo sababu, siku hizi inawezekana kabisa wa mika 45 na kuendelea akaonekana 
kama wa miaka 20.

Karibu Tupo Moroko Dar, tuwasiliane kwa simu 0712 61 34 18

Namna ya kusafisha kochi la kitambaa

Makochi yanakuja kwenye malighafi mbalimbali za vitambaa pamoja na ngozi ila kwa hapa tunazungumzia yale makochi ya vitambaa. Vitambaa vingi vya makochi ni vigumu kusafishika kirahsi bila kuacha alama yoyote ya uchafu. Na wataalam wa kusafisha wanachaji gharama ambayo pengine huwezi kuimudu. Asante kwa uwepo wa dawa mbalimbali ambazo unaweza kutumia kusafishia kochi mwenyewe nyumbani.

Kwanza ili uweze kusafisha kochi la

Friday, November 11, 2016

NovAge ni cream asililia ya kuondoa na kuepusha makunyanzi usoni

Package za kipodozi cha NovAge haina kemikali na iko kwa ajili ya kurutubisha ngozi yako. Kifurushi hiki kina cream ya kupaka kuzunguka machoni ili kuondoa ile rangi ya tofauti, serum kwa ajili ya kung'arisha, cream ya mchana yenye kizuizi cha kuunguzwa na jua na cream ya usiku ya kurutubisha ngozi ukiwa umelala.

Inang'arisha uso na kukupa rangi moja kwa kuondoa madoa yote. Inaondoa dalili zote za ngozi kuanza kuzeeka (makunyanzi). Imeonyesha mafanikio kwa watumiaji wengi na kamwe haichubui. 
Bei ya kifurushi chote ni 242,000. Karibu tupo Moroko au ukitaka kuletewa moja kwa moja ulipo au kuongea na mshauri wetu 
piga namba 0712 61 34 18 UELEZE HITAJI LAKO MOJA KWA MOJA

Namna ya kutunza bustani katika majira ya vuli

Hata uwe na maji mengi kiasi gani ya kumwagilia bustani, ni ukweli kuwa kiangazi kinatesa bustani nyingi. Watunza bustani wanatumia muda mwingi kuitunza kuliko majira mengine ya mwaka. Sasa majira yanabadilika tunategemea mvua za vuli na ni

Pafyum ya Signature ni nzuri

Naweza kusema kwa kujiamini kuwa hakuna pafyum inayoweza kuzidi hii ya Signature. Ina harufu nzuri, tulivu na isiyokali. Ni kwa ajili ya wanaume na wanawake. Tupo Moroko au ukihitaji kuletewa hadi ofsini kwako 
piga 0712 61 34 18

Thursday, November 10, 2016

Lipstick nzuri toka Oriflame


Hey friends!
Lipstick nzuri kutoka vipodozi asilia vya Oriflame. Bei ni 19,000.
Kwa mahitaji tuwasiliane 0712 613418. Tupo Moroko karibia na ilipokuwa AAR zamani.

Wednesday, November 9, 2016

Deodorant Nzuri ya Activelle


Jiapatie deodorant ya Activelle ambayo inakuweka fresh masaa 24. Bei ni elfu 8 na elfu 12. Kuletewa au kununua piga  0712 6134 18. Tupo Moroko Dar

Tuesday, November 8, 2016

Cream za uso wakati wa mchana na usiku

Kwako wewe mwenye ngozi ya mafuta, OPTIMALS Day Cream ndio sahihi kwako wakati wa mchana, husaidia kuzuia mionzi ya jua isikuunguze kutokana na kuwa na SPF (sun protecting factor).

Na wakati wa usiku unapaka hiyo ya night ili kurutubisha ngozi ya uso ukiwa umelala. Bei ni 38,000 kila moja.
Cream hizi zote ni za asili hazichubui bali zinang'arisha tu!
Kununua piga 0712 613 418

Pafyum za kike na kiume

Ya kwako na ya kwake. Bei 82,000.
Kununua piga 0712 613 418

Njia rahisi na haraka za kuongeza dozi ya rangi ukutani

 
Ni rahisi kujisikia uchovu pale unapofikiria ni vitu gani unavyoweza kuleta ndani ili kuongeza dozi ya rangi kwa njia rahisi, haraka na gharama nafuu. Rangi inaongeza nguvu na uzuri wa ziada wa eneo, lakini cha muhimu ni kuamini jicho lako, kujiamini kwenye maamuzi yako, na usizidishe laa iwe unajaribu uone itakuwaje! Ladha zetu kuhusu rangi zinahama, zinaongezeka na zinabadilika mara kwa mara. Rangi fulani kwenye fenicha inaweza kuonekana ni ya kuvutia, lakini je

Pafyum nzuri ya Enigma

ENIGMA ni perfume original kutoka Oriflame kwa ajili ya wanawake.

 Bei ni 82,000 na pia unaweza kupata fursa ya kujiunga na kununua kwa punguzo la bei. 

Karibu sana 0755 200023

Monday, November 7, 2016

Face Powder aka Enjoface nzuri

Matte powder hakika ni nzuri kwa uso wako na inapatikana kwa wenye ngozi nyeusi na nyeupe. Ukiitumia hakika uso unang'aa. Bei ni elfu 27,000 tu, wahi kabla hazijaisha.

Kwa mahitaji na membership tuwasiliane 0755200023

Tofauti ya kutumia stika badala ya wallpaper ukutani

Nimekuwa nikiulizwa hili swali mara kwa mara na wasomaji wangu kuwa ni kwanini mwenye kupendezesha nyumba yake aamue kutumia stika ukutani badala ya wallpaper. Na leo nitalijibu kama ifuatavyo. Stika na wallpaper zote zinapendezesha kuta na zinakidhi malengo fulani kwenye kuta za nyumbani kwako.

Hapa ni

Saturday, November 5, 2016

BODY LOTION KWA AJILI YA NGOZI KAVU

 Lotion hizi mbili za mwili ni kwa ajili ya ngozi kavu na ngozi kavu zaidi. Ya  bluu ina mafuta ya sesame  na ni kwa ajili ya ngozi kavu kawaida, wakati ya njano ina mafuta ya mbegu za boga na ni kwa ngozi kavu zaidi. Zinasaidia kulainisha ngozi, kuondoa harara na kuwa na mwili wenye ngozi ya rangi moja. Zote hizi ni asili kwa hivyo hazichubui ngozi yako. Ukiwa member unaipata kwa sh 20,800 na kama sio member unaipata kwa 27,000.
Nipigie, text au whatsapp 0755200023

Friday, November 4, 2016

Lip gloss nzuri ni hizi

Kama unahitaji LIP GLOSS ya viwango itakayolainisha midomo yako na kuifanya kivutio piga 0755 200023

Tairi chakavu zinavyopendezesha bustani

Kwa nyumba nyingi ambazo wenyeji wana magari watakubaliana na mimi kuwa matairi chakavu wakati ulipoyaondoa kwenye gari kama hukuyaacha kule gereji basi yameishia kurundikana eneo la nje ya nyumba yakikusanya vumbi, taka mbalimbali na makazi ya wadudu. Badala ya kuyaacha gereji au kuyatupa je, kwanini usiyabadilishe kuwa kitu cha kuvutia na vilevile cha manufaa?

Mpira unaotengenezea tairi hakika ni

Thursday, November 3, 2016

Unataka kuwa na uso soft?



Siri yangu ya kuwa na ngozi nyororo isiyozeeka ni hii poda ya The One Everlasting. Tuwasiliane 0755 200023

Wednesday, November 2, 2016

FOUNDATION NZURI ZIPO


Hey wapenzi,
Foundation nzuri za The One Everlasting ziko za rangi tatu tofauti ambazo ni , mahogany, nude beige na natural beige. Pia kuna The One Velvet Powder  ambayo ni nyepesi na haifanyi uso uonekane kama umejikandika na pia ina SPF (sun protecting factor) ya kuzuia mionzi ya jua.

Inakaa usoni zaidi ya masaa 8 bila kupoteza ubora wake.

Tuwasiliane 0755 200023

Pafyumu nzuri za kike

Perfume nzuri ya kike toka oriflame. Bei elfu 66

Shower gel ya uhakika kwa mazingira ya Kitanzania

Bei ni elfu 9. Piga 0755000023 nikuletee ulipo.

Namna ya kuondoa makunyanzi

Bei ya vyoute hivi ni 242,000

Ifuatayo ni namna ya kutumia:

Step 1: Cleanse Start with NovAge Refining Foaming Gel Cleanser and Renewing Toner to clean your skin of make-up, impurities and dead cells. Not only do they leave your skin clean and refreshed, but they also allow for better absorption of the following products in the routine. Step 2: Eyes Then use Ecollagen Smoothing Eye Cream to deliver powerful technologies to the delicate skin around your eyes. Step 3: Boost Next, apply Ecollagen Wrinkle Smoothing Serum, formulated to deliver the powerful technologies efficiently, to help boost the effect of your day and night creams. Step 4: Moisturise Finish off with day and night creams. For help protecting against photodamage, choose Ecollagen Wrinkle Smoothing Day Cream with SPF
  1. And to simply deliver intense hydration with a light, fresh feel use Ecollagen Wrinkle Smoothing Day Cream Light. Wrinkle Smoothing Night Cream provides resting skin cells with extra deep nourishment while you sleep. NOTE: Users of multiple products may find it takes time for the skin to adjust to an intense skin care regime. If so, we recommend introducing products gradually.

Nakuletea ulipo piga simu 0755 200023

Lipstick nzuri zenye mng'ao wa satin


Hey friends,
Bila shaka unapenda kutumia lipstick zenye ubora ambazo haziachi midomo yako ikiwa na nyufa au magamba.
Ninazo hizi lipstick kwa bei ya sh elfu 19 kila moja. Karibu kwa unayehitaji nipigie 07550200023. Zipo chache na ni za viwango vya kimataifa sio longolongo. Kama umeshawahi kutumia bidhaa za oriflame bila shaka utakubaliana na mimi.

Shindano bado linaendelea wapenzi!

Ingia www.mtotomagazine.com na kwenye comment chagua picha namba 14.

Ukikwama nipigie 0755 200023

Namna ya kuepuka harufu kwenye jokofu

Kutokea sehemu moja au mbili ndani ya jiko, hakuna sehemu inayokusanya harufu kirahisi kama jokofu. Kuepusha harufu kwenye jokofu sio ngumu kivile ikiwa unajua unachofanya, kwa kutumia njia sahihi. Endapo jokofu lako litakuwa linatoa harufu mbaya tumia njia mojawapo kati ya hizi na

Tuesday, November 1, 2016

Namna ya kuchagua mapambo ya ukutani

Inapofikia wakati wa kutoa nje ubunifu ulio ndani mwetu, wa namna ya kupendezesha nyumba zetu, basi sehemu nzuri ya kuonyesha kipaji chako ni kwenye kuta. Onyesha utambulisho wako wa sanaa kupitia kuta.

Mapambo ya kisasa ya

Monday, October 31, 2016

Please endelea kuchagua picha namba 14 ishinde!

Tafadhali ingia www.mtotomagazine.com juu kushoto palikoandikwa shindano la picha angalia picha zinazoshindaniwa halafu tuma comment ya kuchagua picha 
namba 14. 
Unatapaswa kuandika jina lako (hata moja tu sio lazima majina kamili) na email. Ni rahisi sana, asante kwa wewe ambaye umeshapiga.  Nawapenda!

Namna ya kupendezesha sebule kwa rangi ya bluu

Kwa lengo la kutengeneza sebule yenye hisia ya utulivu, muonekano wa usafi na kiwango njia mojawapo ni kwa kutumia rangi za familia ya bluu. Mara zote bluu imekuwa ni rangi freshi na inafanya ndani kuwe na uhai. Usishangae ni kwanini sebule za bluu zinaonekana nadhifu na maridadi ziadi.

Rangi mbalimbali zilizo kwenye familia ya bluu zinafanya ndani kupendeze na bila shaka kuvutie. Unaweza kutumia bluu ukutani, kwenye zulia, pazia au

Sunday, October 30, 2016

Ingia www.mtotomagazine.com upigie kura picha yangu ishinde

Hey friend!
Happy Sunday kwako.

Ninashiriki shindani la picha ya pozi bomba ya mzazi/wazazi na mtoto/watoto na nina furaha kubwa kuwa picha yangu na watoto imepita mchujo wa awali, ambapo imepewa namba 14.

Nakuomba tembelea www.mtotomagazine.com halafu bofya pale juu kushoto palipoandikwa shindano la picha. Halafu tuma comment uandike PICHA NAMBA 14 ili ishinde.





Asante barikiwa sana msomaji wangu!

Thursday, October 27, 2016

Zingatia mambo haya matatu unaponunua kioo cha kupendezesha


Huenda  uko kwenye mchakato wa kupendezesha nyumba mpya au unaboresha ya zamani, kioo ni pambo muhimu unalohitaji angalau kwenye kila chumba. Ukisema kioo tu inaonekana kama ni kitu rahisi, madukani vipo vingi vidogo, vikubwa na vya maumbo mbalimbali. Hata hivyo ikifika wakati unapotaka kununua, kupata kilicho sahihi kwa chumba fulani pasipo changamoto, zingatia mambo haya matatu.

1. Urefu wa ukuta – Kabla ya

Tuesday, October 25, 2016

Fimbo nzuri za kutundikia pazia zina vigezo hivi

Kwa takriban miaka 10 iliyopita matumizi ya fimbo au wengine wanaita bomba imekuwa ni njia ya kawaida zaidi ya kutundikia pazia. Zinafanya utundikaji uwe rahisi na uvutie.

Unapotaka kununua fimbo nzuri za pazia zingatia vigezo hivi.

Malighafi
Zipo fimbo zilizotengenezwa kwa plastiki, chuma, aluminiam na miti.
Kwa uimara na kudumu muda mrefu, fimbo nzuri za pazia zinatakiwa zile za

Saturday, October 22, 2016

Uzuri wa zulia lenye michoro kama ya kwenye ngozi ya wanyama

Kupendezesha nyumba kwa vitu vyenye rangi kama za michoro iliyopo kwenye ngozi za wanyama hakujawahi kupitwa na wakati. Kama unapenda mazulia lakini hujui namna ya kupamba kwa kutumia yale yenye michoro kama ya kwenye ngozi za wanyama, kwenye makala hii utazijua mbinu zote.

Mazulia haya kwa muonekano wake tu yana uzuri wa

Wednesday, October 19, 2016

Namna ya kupendezesha nyumba ionekane ya gharama ila kwa bajeti ndogo

Wengi tunapenda ndani ya nyumba tunamoishi kuwe kuna mvuto. Ila bado tunajiuliza kama itawezekana kwa bajeti iliyopo ambayo bila shaka ni ndogo. Wala isikupe shaka! Katika makala hii nitakuonyesha njia tano ambazo zitapafanya nyumbni kwako paonekane kwa gharama bila bajeti ya

Monday, October 17, 2016

Namna ya kusafisha milango ya ndani ya mbao

Milango katika nyumba nyingi mara nyingi haifikiriwi kufanyiwa usafi. Ni ile ya vyumba vya kulala, ya makabati ya nguo, ya mabafu, wa jikoni na wa stoo. Labda ni kwasababu haipati uchafu kwa wingi na kwa muda mfupi kama maeneo mengine ya ndani. Hata hivyo inapaswa kusafishwa kila baada ya kipindi fulani. Ikiwa ni pamoja na eneo lenye kitasa linapaswa kusafishwa na

Wednesday, October 12, 2016

Dondoo za kupendezesha pembeni mwa luninga

Kupendezesha pembeni mwa luninga inaweza kuwa changamoto na pia baadhi wanadhani kwamba wakishaiweka iwe ni ukutani au juu ya kabati basi inatosha. Bahati mzuri ni kwamba ujio wa luninga za vioo flati na nyembamba yaani zisizo na kichogo kama zile za zamani, unafanya kazi ya kupendezesha pembeni mwake iwe rahisi.
Hapa hebu tuangalie dondoo tano za

Tuesday, October 11, 2016

Namna ya kuleta ushirika wa rangi za pazia na za viti/sofa

 
Aidha unapamba upya au ni bahati kwamba ndio umekamisha ujenzi wa nyumba yako, bila shaka ni wakati wa kufikiria rangi za vitu ambavyo utahitaji kwenye kila chumba. Vyumba vikubwa kama vile sebule na chumba cha kulala cha wakuu wa familia ni

Tuesday, October 4, 2016

Njia kuu 4 za kuaminika ili kuongeza nafasi kwenye chumba cha kulala

Inawezekana umepanga nyumba yenye chumba kidogo cha kulala. Na kama tujuavyo nyumba nyingi za kupanga hazina ile mifumo ya kukuwezesha kupangilia vitu vyako kama vile makabati ya nguo na kadhalika. Hata hivyo unaweza kuishi vizuri mno kwenye chumba hicho kidogo endapo utafahamu jinsi ya kukiweka katika muonekano sahihi.

Kuna mbinu nyingi ya kukipanga chumba cha

Monday, October 3, 2016

Grauti za rangi zinavyopendezesha eneo lenye marumaru




Sio siri kuwa marumaru imekuwa ni malighafi ambayo inapendwa na wengi kwenye sakafu na kuta kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuhimili uchafu na unyevu. Kile kinachounganisha marumaru moja na nyingine kinahusika sana kwenye muonekano na usafi wa sakafu au ukuta wa marumaru.

Mhandisi David Sembuyagi wa kampuni ya Ujenzi Bulk Build simu 0715 630 073 anatuelezea jnsi malighafi ya