Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya
wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha
Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.
Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana
Tuesday, March 31, 2015
Unajiuliza uanzie wapi?.......HATUA 3 ZA KUPAMBA CHUMBA
Baadhi yetu tunahamia nyumba mpya au chumba ambacho
hakina chochote ndani au hata kimepambwa tayari lakini unataka kubadilisha
muonekano. Sasa mtu anajiuliza hapa naanzia wapi kuki design. Napenda changamoto
hii kwa ajili
Eee Mungu! USO NI SAWA KABISA MIAKA 39 LAKINI HIZI NYAMA SASA ZILIVYODONDOKA.......HILO GEPU KATI YA MAPAJA ..MWENYEWE ANASEMA AMEZALIWA NA MIFUPA MYEPESI..
Tara Reid looked worryingly thin as she posed in a bikini on the beach on Friday.
The 39-year-old actress showed her alarmingly bony
ribcage and large thigh gap as she ran along Miami Beach for a photoshoot.
PICHA: Dk Slaa akimjulia hali Askofu Gwajima hospitalini alikolazwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimjulia hali Askofu Josephat Gwajima, wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima aliyelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es
Salaam kwa matibabu.
HOSPITALI YA AMI/TRAUMA CENTER MASAKI KUFUNGWA?.......................DAR HOSPITAL FACES CLOSURE OVER SH3BN RENTAL CHARGES
IN SUMMARY
In a February, 2015 ruling, the Court of Appeal ordered
the South African company operating as AMI Hospital or Trauma Centre to deposit
in court the money plus a monthly rent of $64,000 from January 2013 to the date
it vacates the premises following a dispute over tenancy with a local
businessman, Navtej Singh Bains.
Dar es Salaam. AMI Hospital or Trauma Centre at Msasani
in Dar es Salaam is facing closure after it failed to comply with the Court of
Appeal order that sought the South African company to deposit in court $1.514
million (about Sh2.725 billion) following a dispute over tenancy.
Binti wa Kida Waziri na Marehemu Hemed Maneti kurudia nyimbo za wazazi wake
PICHA: Msibani kwa Abdul Bonge Mkuyuni Morogoro
Waombolezaji bloga maarufu Jestina George, Zari na mtu mwingine wakiwa msibani kwa mwanzilishi wa TIPTOP CONNECTION marehemu Abdul Bonge. RIP Abdul.
SAKATA LA KUTAKA KUUAWA DK SLAA.......................MCHUMBA WAKE ATOA MAELEZO
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo
yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka
kuuawa kwa katibu huyo.
GWAJIMA AONGEA.......ASEMA ALIAGIZA BASTOLA KUJILINDA PALE HOSPITALINI
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima alipokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam jana. |
Kauli ya Gwajima
Akizungumza kwa shida akiwa amejishika tumbo, Gwajima
alisema alipopata taarifa za uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki
dunia, aliagiza wachungaji waende hospitalini kwa ajili ya kumlinda, lakini
wakaishia mikononi mwa polisi wakidaiwa kutaka kumtorosha.
ZARI thebosslady anatuonyesha jinsi ya kuvaa kiswahili na kuonekana mrembo...................angalia picha
Zari amebandika picha hii kwenye ukurasa wake wa instagrama akaiwekea caption the swahili way of dressing up. Mashallah amependeza na anaweza kweli kuendana na utamaduni wa alipo.
SILAHA WALIYOKUWA NAYO WALIOKUWA WANAKULA NJAMA ZA KUMTOROSHA GWAJIMA HOSPITALINI INAMILIKIWA KIHALALI NA ASKOFU GWAJIMA
Leo tarehe 30/03/2015 waandishi wa habari walifika kituo
Kikuu cha Polisi wakitaka kujua uhalali wa silaha iliyokamatwa tarehe
29/03/2015.
Silaha hiyo ni Bastola aina ya BERRETA yenye namba CAT5802 ikiwa na
risasi tatu. Pia zilikamatwa risasi 17 za Short Gun.
Ufafanuzu ni kama ifuatavyo:
Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha
kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat Gwajima. Kuhusu
risasi 17 za Short Gun ni kwamba Askofu Gwajima anamiliki Bunduki aina ya Short
Gun yenye namba 102837 ambayo inatumia risasi za aina ya hizo zilizokamatwa.
Kuhusu watu 15 wanaotuhumiwa kujaribu kumtorosha Askofu
Josephat Gwajima bado uchunguzi unaendelea. Aidha watu hao pia wanahojiwa
kuhusu suala la kukutwa na silaha na risasi zilizotajwa hapo juu wakati wao sio
wamiliki halali za silaha hiyo na risasi hizo na idadi iliyotajwa kwa mujibu wa
sheria.
Baada ya uchunguzi wa suala hilo jalada la kesi
litapelekwa kwa mwanasheria wa Serikali kabla hawajafikishwa mahakamani ili
sheria ichukue mkondo wake.
KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM,S. H. KOVA,DAR ES SALAAM.
Monday, March 30, 2015
HATIMAYE OBAMA KUZURU ALIKOZALIWA BABAKE JULAI MWAKA HUU
Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa, Rais Barrack Obama
atazuru Kenya mwezi Julai mwaka huu, taifa alikozaliwa babake.
SHROSE BHANJI AFUNGUKA UGONJWA UNAOMSUMBUA
Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji
amefunguka ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika
hospitali ya Agha Khan,jijini Dar.
STUDY: WAZAZI MNAPASWA KUDHIBITI UNENE WA WATOTO WENU........TAKWIMU ZINAONYESHA WATOTO KUNENEPA KUPITA KIASI IMEKUWA KAWAIDA MAJUMBANI
Madaktari wanasema kuwa wazazi wengi hawajui madhara ya
afya kwa watoto walionenepa kupita kiasi.
Katika utafiti uliowajumuisha zaidi ya familia 2,976
nchini Uingereza ni wazazi 4 pekee waliokuwa na shauku kuwa mtoto wao alikuwa
amenenepa kupita kiasi.
HEEEE HE! MUSWADA WA UHALIFU MITANDAONI KUWASILISHWA BUNGENI LEO................UKIWEKA MITANDAONI MATUSI, NGONO FAINI NI SH MILIONI 30 AU MIAKA 10 JELA..
Serikali itawasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Makosa
ya Mtandao wa mwaka 2015 kwa hati ya dharura unaoorodhesha adhabu mbalimbali,
ikiwamo ya faini ya Sh50 milioni au kifungo kisichopungua miaka saba kwa mtu
atakayebainika kusambaza picha za ngono mtandaoni.
RANGI ZA MAZULIA YA NYUMBANI NI NYINGI........UNAAMUAJE UNUNUE RANGI IPI..?
Hakuna sakafu inayoipa miguu ulaini kama sakafu ya
carpet. Carpet linafanya sakafu salama kwa watoto kucheza na pia linapunguza
uwezekano wa kuumia wanapoanguka. Ni kweli carpet linahitaji utunzaji wa ziada
ukilinganisha na sakafu nyingine kwa mfano za tiles, mbao, tarazo nk.
Kwa rangi lukuki zilizopo, inaweza kukuwia vigumu
kuchagua rangi sahihi kwa ajili ya nyumbani kwako. Rangi nyingine kama cream na
nyeupe, light blue yani kwa ujumla rangi za mwanga zinahitaji usafishaji na utunzaji wa
ziada. Rangi za giza kama brown, nyekundu na maroon hazihitaji usafishaji wa
mara kwa mara kama zile za mwanga, ila kuwa makini kwani rangi za giza huwa
zinapauka.
Sasa uamuzi ni wako, unadhani ni rangi zipi za carpet
zinakufaa zaidi...za mwanga au za giza?
WANAHARAKATI WAPINGA MUSWADA WA UHALIFU MITANDAONI.........WASEMA UKIPITISHWA KUWA SHERIA UTAZUIA UHURU WA MAWASILIANO
WADAU wa matumizi ya mtandao wametoa tamko la kuliomba
Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kuwa sheria, kwa kuwa
unaingilia uhuru wa mawasiliano kwa wananchi.
Angelina Jolie na bintize kwenye Kids' Choice Awards..........................Upendo Mungu aliomwekea mama kwa wanae ni wa ajabu
Picha hizi ni za kwanza hadharani baada ya Angie kuondolewa kizazi kwa hofu ya saratani..Angelina Jolie knows how to party... with her kids, that is.
The mother of six spent her Saturday night at the Kids' Choice Awards at the Forum in Los Angeles with her daughters Zahara, 10, and Shiloh, 8, in tow. Jolie was nominated for Favorite Movie Actress as well as Favorite Villain (for her work in Maleficent).
ASKOFU PENGO AMESEMA AMEMSAMEHE ASKOFU GWAJIMA.................MKE WA GWAJIMA ASEMA MUMEWE AMETOLEWA ICU BAADA YA KUONEKANA ANAENDELEA VIZURI
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo amesema, amemsamehe Askofu wa Kanisa la Ufufuo na
Uzima, Josephat Gwajima ambaye hivi karibuni alimtolea maneno makali kutokana
na kutofautiana naye juu ya msimamo wa viongozi wa Kikristo kuhusu Katiba
Inayopendekezwa.
JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WATU 15 KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA HOSPITALINI ALIKOLAZWA SAA TISA USIKU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama
pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa
katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika
thelathini usiku watu hao 15
Sunday, March 29, 2015
SWALI KWA WANANDOA..
Nimekutana na hili swali kwa wanandoa Jamiiforum nikaona si mbaya niliweke hapa.
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi.
Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na kuanza kubadilishana story za hapa na pale.
Sherehe ilipoisha waliulizana njia ya usafiri ambayo kila mmoja atatumia kuondoka.
Yule mke wa jamaa akasema yeye amepewa hela ya taxi kwa hiyo angetumia taxi kurudi nyumbani.
Yule binti mrembo akasema aliletwa na "boyfriend " wake hivyo angekuja kumchukua. Hivyo akamwomba rafiki yake huyo asitumie taxi .
Baada ya muda mfupi gari ya boyfriend wa yule binti mrembo likaingia. Yule mama akakaribishwa apande , alipotahamaki akagundua ni gari ya mume wake.
Akapanda kiti cha nyuma na akatambulishwa kama rafiki wa yule binti mrembo. Mume alipogeuka akakutana uso kwa uso na mkewe!
Swali: ungekuwa wewe (mwanamke au mwanaume) ungefanyaje?
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi.
Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na kuanza kubadilishana story za hapa na pale.
Sherehe ilipoisha waliulizana njia ya usafiri ambayo kila mmoja atatumia kuondoka.
Yule mke wa jamaa akasema yeye amepewa hela ya taxi kwa hiyo angetumia taxi kurudi nyumbani.
Yule binti mrembo akasema aliletwa na "boyfriend " wake hivyo angekuja kumchukua. Hivyo akamwomba rafiki yake huyo asitumie taxi .
Baada ya muda mfupi gari ya boyfriend wa yule binti mrembo likaingia. Yule mama akakaribishwa apande , alipotahamaki akagundua ni gari ya mume wake.
Akapanda kiti cha nyuma na akatambulishwa kama rafiki wa yule binti mrembo. Mume alipogeuka akakutana uso kwa uso na mkewe!
Swali: ungekuwa wewe (mwanamke au mwanaume) ungefanyaje?
SOMA KISA KIZIMA KILICHOPELEKEA HADI ASKOFU GWAJIMA KUZIMIA
Hali ya Gwajima bado tete
NA MOSHI LUSONZO NIPASHE JUMAPILI
Polisi, waumini
wavutana hospitali inayofaa
Askofu wa Kanisa la Ufufuko na Uzima, Josephat Gwajima
akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), hospitali ya TMJ ya jijini Dar
es Salaam jana.
Soma dukuduku hili la mdau kuhusu mwenendo wa blogs nchini....WAPO WANABLOG WANAOUA WALIO HAI!!
TCRA
izimulike blogs ‘Uchwara’ na kuzichukulia hatua kali
Soma makala hii kutoka Dewji Blog imeandikwa Na Andrew Chale wa Modewji blog
“Screen shot”
ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na
taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.
…Ni zile zinazoandika
habari za uongo, matusi
Picha: MSIBANI KWA ABDUL BONGE
Waombolezaji wakiwa msibani kwa ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
PICHA: Jinsi unavyoweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu..
Unaweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu kwa kutumia picha na fremu za ukutani za ukubwa na michoro tofautitofauti, na pia kwa kutupia mito ya makochi ya rangi mbalimbali. Unaona kama kwenye hiyo sebule hapo zulia jeupe, kochi la kijivu na ukuta wa cream ungefanya sebule ipooze. Lakini rangi za mito na picha ukutani zimeifanya changamfu. We unaonaje?
Picha toka mtandao wa house to home.
Picha toka mtandao wa house to home.
PICHA: MATEMBEZI YA KUPINGA VITA MAUAJI YA ALBINO JIJINI DAR LEO................KAMPENI HII INAITWA IMETOSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
KIBURUDISHO......Beautiful Shamim........kila kitu on point...
Unapenda unachokiona? Shamim ametupia picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram...kutaka kujua ni nani kamvalisha ingia bloguni kwake kesho.
GWAJIMA YUKO CHINI YA UANGALIZI MAALUM HOSPITALI YA TMJ
Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat
Gwajima inaendelea vizuri, ingawa haijabainika anasumbuliwa na tatizo gani
kiafya hadi hapo vipimo vitakapopatikana.
NYATU NYATU MENGI NA MKE WAKE KLYNN WAMEFUNGA HARUSI KWENYE KISIWA HIKI
Kutoka blog ya vijimambo:
Hiki ni kisiwa cha Mauritius moja ya visiwa vinavyovutia
dunia ndipo chaguo la Bwana Mengi kwa ajili ya harusi yake na Beautiful Onyenyi
wake Ky_Lynn pamoja na watoto wao mapacha wawili. Wapo watu walipata nafasi ya
kuhudhuria harusi hii ukiachia watoto aliozaa na bi mkubwa ndiyo hawakuweza
kupa mwaliko wa kuwepo kwenye harusi hii, hizo ni nyatu nyatu za mjini
inasemekana harusi hiyo imefanyika jumamosi ya tarehe 28 ndani ya viunga ya kisiwa
hiki huko Mauritius.
Saturday, March 28, 2015
PICHA nzuri ya mtoto wa Chris Brown
Mtoto wa Chris Brown, Royalty inasemekana ni mzuri sana ila mashabiki wanahoji ilikuwaje hadi mama yake Royalt akaingia anga za Chris? Kwa ajli eti hana vigezo vya warembo wanaochukuliwaga na Chris kama vile Rihanna..So precious! Chris’ baby mama, Nia Amey, posted a sweet pic of their doe-eyed daughter Royalty in honor of her turning 10 months old on March 27. Is it just us or does she bare a striking resemblance to Chris?!
PICHA: Beautiful Millen........HILI GAUNI KWA CHINI NYUMA UNADHANI LIKOJE..JUST CURIOUS..
Millen yuko kwenye kampeni yake ya kutafuta matibabu ya endometriosis, tumtie moyo wanawake wenzake.
KIBURUDISHO......Oh la laaaaa.....NICK MINAJ NA MEEK MILLS
Hawa watu wawili wapo karibu hadi mashabiki wanahisi ni wapenzi.....kama ndivyo basi mambo yako hawtttttt
MAMA WA WATOTO WALIOKUWA WAKIBAKWA NA BABA YAO HUKO KIBAHA APOKEA VITISHO TOKA KWA NDUGU WA MUME
Siku chache baada ya baba aliyedaiwa kubaka
watoto wake wawili wakazi wa wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani kutiwa
mbaroni na polisi, mama wa watoto waliokuwa wakitendewa unyama huo ameanza
kupokea vitisho kutoka kwa baadhi ya
ndugu wa mume wake.
Bizarre: MWANADADA LIRA GALORE.........nyumba ndogo mpya ya RICK ROSS
Rick Ross‘s new concubine, Lira Galore popped up on everyone’s radar after she was picked over and passed around by rappers and singers such asJustin Bieber. Kutoka mtandao wa Blacksports
ASKOFU GWAJIMA ALIZIMIA AKIWA ANAHOJIWA POLISI NA KUPELEKWA HOSPITALI YA JESHI KURASINI........YADAIWA ALIKUWA HAJALA CHOCHOTE
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)







.jpg)





































