Saturday, March 28, 2015
HUKUMU YA DNA MTOTO WA NAY NI APRIL 8
LILE sakata la mtoto si wa Mbongo Fleva, Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na mzazi mwenzake,
Siwema limeingia hatua nyingine baada ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
kusema majibu kamili ya kipimo cha vinasaba ‘DNA’ yatatolewa Aprili 8, mwaka
huu.
PICHA: NYUMBA ZA NHC ZINAZOJENGWA KATIKA WILAYA MBALIMBALI NCHINI................NYUMBA ZIKISHAKAMILIKA ZINAUZWA KWA MWANANCHI ANAYEHITAJI
Nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo
Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote
wanaohitaji.
Friday, March 27, 2015
ASKOFU GWAJIMA AMEJISALIMISHA POLISI LEO KUHOJIWA KUTOKANA NA KUTOA LUGHA CHAFU DHIDI YA KARDINALI PENGO
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat
Gwajima leo amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha
chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake
Picha: TYRESE NA BINTI YAKE
Kama nawe ni mtu wa zamani utakuwa unamkumbuka Tyrese. Kabinti karefu kama baba yake, karembo kweli kweli..
MKE WA SUMAYE, ESTER SUMAYE KUNYANG'ANYWA MASHAMBA.............YADAIWA NI BAADA YA KUSHINDWA KUYAENDELEZA
![]() |
| WAZIRI MKUU WA ZAMANI, FREDRICK SUMAYE |
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani, imewataja
vigogo wanaohodhi maeneo makubwa ya ardhi bila ya kuyaendeleza na kuwapa siku
90 kuhakikisha wanayaendeleza, kinyume
chake yatachukuliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Tatu
Suleiman, ilisema vigogo hao walinunua mashamba katika eneo hilo na kisha
kuyaacha kwa muda mrefu bila kuyaendeleza akiwamo mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,
Frederick Sumaye, Mama Ester Sumaye ambaye
PICHA: ....AJALI YA LORI LILILOGONGA TRENI KARUME JIJINI DAR LEO
Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 535 CCT mali ya Kampuni ya Coast Millers Limited watengenezaji wa Unga wa Ngano wa Nyati, likiwa nje ya barabara ya Kawawa eneo la Karume mara baada ya kuigonga Treni ya TRL mapema leo asubuhi.
SIKU HAZIGANDI........MWIMBAJI LEGENDARI MARIA CAREY KASHAGONGA 45..
Happy Birthday, Mariah Carey! The diva and Pop star turns 45 today, March 27.
We would sing “Happy Birthday” to Mariah Carey, but considering how her amazing voice would put ours to shame, we’ll just send our birthday wishes to her instead. The amazing singer turns 45 today, Mar. 27, and the stylish diva has never looked better! To celebrate, we’ve put together a gallery of pictures so that we can look back at her year and celebrate.
UNBELIEVABLE!!........ Huko UINGEREZA MGONJWA AWEKEWA MOYO WA MTU ALIYEKUFA
Madaktari wa upasuaji huko Cambridgeshire wamefanya
upandikizaji wa kwanza wa moyo barani Ulaya kwa kutumia moyo mwengine
uliosimama kufanya kazi.
Picha: CHUMBA CHA RUBANI WA NDEGE
CISSY HOUSTON: Tuko tayari kwa kifo cha BOBBI KRISTINA BROWN...........wenyewe wanapenda kumuita Kriss
KADRI hali ya mtoto wa aliyekuwa nguli wa muziki nchini
Marekani, Whitney Houston, Bobbi Kristina Brown, inavyozidi kuwa mbaya, ndugu zake
wametangaza kuwa tayari kupokea taarifa za kifo chake.
MCHUNGAJI GWAJIMA ANASAKWA NA POLISI KWA KUMKASHIFU KADINALI PENGO
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,
kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo
la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp
Picha: RUBANI MWENZA WA NDEGE YA GERMANWING, ANDFREAS LUBITZ MWENYE MIAKA 28 ANAYEDAIWA KUIANGUSHA NDEGE HIYO KWA MAKUSUDI NA KUUA WATU 150 NAYE AKIWEMO.........YADAIWA ALIKUWA AMEACHWA NA MPENZI WAKE NA PIA ALIKUWA KWENYE DEPRESSION
Had killer Alps pilot just been dumped? Claims depressed Lubitz was in 'love split' before he deliberately crashed plane killing 150 - as German police make 'significant discovery' at his apartment.
- Pilot Andreas Lubitz might have been suffering a 'personal crisis' after failed relationship, it was claimed last night.
- He had suffered from depression and 'burnout' but still passed psychological assessments and was deemed fit to fly.
- Head of Lufthansa admitted the 28-year-old had slipped through the 'safety net' - with devastating consequences.
- Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/article-3013743/Germanwings-pilot-slipped-safety-net-devastating-consequences.html#ixzz3VYtdT0mJ
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Watanzania mnashauriwa KUACHANA NA MITUMBA..............WOOLWORTHS DAR ES SALAAM WAMETOA PUNGUZO LA ASILIMIA 50 MSIMU WA PASAKA......PUNGUZO LITADUMU KWA WIKI 4
WATANZANIA wameshauriwa kuachana na matumizi ya nguo
zilizotumika maarufu kama mitumba ambazo tayari baadhi zimeonekana kuwa na
madhara mbalimbali ya kiafya
yanayotokana na matumizi ya nguo hizo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa punguzo la asilimia
hamsini kwa nguo katika duka la Woolworths kwa ajili
Thursday, March 26, 2015
NDEGE YA UJERUMANI ILIANGUSHWA MAKUSUDI
NI NINI HASA WAGENI WANACHOONA WANAPOKUJA NYUMBANI KWAKO...........SASA, Usiniulize wanakuja kutembelea au wanakuja kukagua nyumba..
KUTOKA Mtandao wa POPSUGAR:
Usijali hayo mazingira ya picha we pata idea tu..
Here are the only things you really need to do before
your guests arrive.
KINYWAJI: After greeting guests, the first thing that you will want
to do is offer them a drink. AJALI YA NDEGE YA UJERUMANI ILIYOANGUKA KATIKA MILIMA YA ALPS NA KUUA ABIRIA WOTE 150, UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA KUWA RUBANI MMOJA ALIFUNGIWA NJE
Uchunguzi wa awali wa sauti zilizokuwa ndani ya kifaa cha
kurekodia sauti ya ndege iliyoanguka Ufaransa unaonesha kuwa mmoja wa marubani
wa ndege hiyo alikuwa amefungiwa nje ya eneo la marubani wakati ndege hiyo
ilipoanguka.
BABA MKAZI WA KIBAHA ATUHUMIWA KUWABAKA BINTI ZAKE WAWILI toka 2013 hadi Machi mwaka huu......Alikuwa anawaambia ANACHOKIFANYA NI SUNA HATAKI KELELE
Kama itathibitika ni kweli, unadhani adhabu ya miaka 30 jela inamtosha mbakaji huyu? Mkazi mmoja wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani
amekamatwa na polisi akituhumiwa kuwabaka watoto wake wawili wadogo kwa zaidi
ya miaka miwili sasa.
VIJANA WENGI KUANZIA UMRI WA MIAKA 30 WAMEPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME........Dawa ya MUNDEX inasaidia KUPUNGUZA UKUBWA WA TATIZO
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema
vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa
za kuongeza nguvu za kiume.
Bizarre: AMBER KAAMUA KUWAPA WAFUASI WAKE WA INSTARGAM ZAWADI KWA KUTUPIA HII....
Amber akiwa beach huko Miami. Chuchu kazifunika kwa kiganja, na mguu mmoja kajibinua ili uweze kuona fremu yake vizuri..aluuuu..hivi mtu akija kumbaka atasemaje....huhuhuhuuuuuuuu..watu kama hawa wanasaidia kuyeyusha kidogo ugumu wa maisha....
MAKABATI YA JIKONI......TUKIWA TUNA MBAO ZETU ZA MITI YA MNINGA NA MKONGO NI KWANINI WENGI WANAPENDA MCHINA..?
Kwa kijiutafiti changu nilichofanya, wanaojenga nyumba za kisasa wengi wanaweka makabati ya jikoni imported, ambayo siyo hardwood. Sasa tukiwa na our own mkongoz na mninga why hatuweki kabati za hizi mbao ambazo ni kwa lifetime. Badala yake tunakimbilia imported. Nini tatizo...mafundi, bei ya mbao, kutokujua ama nini...
Wednesday, March 25, 2015
Bizarre: AMEVAA CORSET KWA MIAKA 7 HADI AKATENGENEZA KIUNO CHA INCHI 16....
DU! Hadi kawa kama kilema, mamodo wale wembamba kabisa walao wana kiuno cha inchi 24, lakini huyu ni 16....Inabidi tumpate daktari atufafanulie kama hii kitu haina madhara....hizo organ huko ndani zinajibanaje....
MHUBIRI WA KIMATAIFA BENNY HINN AMEPATWA NA HEART ATTACK
Mhubiri maarufu Benny Hinn amelazwa baada ya kupatwa na heart attack na hapa ni jinsi binti yake, Jessica Hinn Koulianos alivyoandika kwenye tovuti ya kanisa lao....
"Recently he (Hinn) returned to California after
ministering to crowds of over 100,000 people in Brazil, including over 2,000
pastors and leaders from all over South America. It was truly a remarkable
nation-shaking event. And while it was a rewarding journey, after he arrived home
he suddenly began battling fatigue and shortness of breath. For those of you
who know my Dad, you know that he never stops; so when he spent over a week in
bed, we knew something was wrong. I flew to California to be with him and
insisted that he see a doctor. On Friday, he consulted with his local physician
and was admitted to the hospital, where he was treated for lack of oxygen in
his cardiovascular system," she wrote
BAADHI YA NYUMBA ZINAZOZUIA MAJI KUPITA NA KUSABABISHA MAFURIKO HIVI KARIBUNI HUKO BUGURUNI MNYAMANI KUBOMOLEWA......UZURI NI KWAMBA WOTE MTAKAOBOMOLEWA NYUMBA ZENU MTALIPWA FIDIA
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba
zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba
za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
HE HE HE HE.........mahaba mahabani.......SHOGA, NDOA USIICHEZEE MDAKO....
Najua umenisubiri kwa hamu kubwa bi shosti, ni mimi
yuleyule mtambo wa kurekebisha tabia nimeingia kama upepo wa kimbunga. Kwa vile nia ya kona hii ni kutibu si
kubembeleza watu wala kuangalia sura zao. Unajua kuna baadhi ya wanawake
wanatia kichefuchefu kufanya utani katika ndoa na
First lady mwenye kipara? ......MUONEKANO HUU WA MICHELLE UMEZUA MASWALI....
Muonekano huu wa staili ya nywele za Michelle Obama umezua maswali huko twitter mashabiki wakishangaa kama alikuwa anaonyesha mtindo mpya wa kuwa na nywele chache. Michele alionekana na nywele hizi wakati akipromoti kampeni yake ya watoto wasiwe na uzito wa kupindukia.
STUDY: Homework nyingi ni ugonjwa kwa mwanao.....MUDA WA MASOMO HAYO UKIZIDI SAA MOJA NI SHIDA....NA MTOTO HAPASWI KUSAIDIWA HOMEWORK ZAKE
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na wanasayansi
umegundua kwamba masomo ya nyumbani apewayo mwanafunzi baada ya saa za shule
inashauriwa aifanye si zaidi ya dakika sitini sawa na saa moja tu ili aifanye
kwa ufanisi mkubwa.
Bizarre: INADAIWA KUWA UHUSIANO WA JASON DERULO NA JORDIN SPARKS ULIVUNJIKA KWASABABU YA HUYU........HAWT
Model and actress Carmen Ortega is looking good hanging around South Beach making the most of the warm Florida sun wearing a small blue and black bikini.
CCM YAMUONYA TENA LOWASSA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo
vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni
ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.
Tuesday, March 24, 2015
ANGELINA JOLIE AONDOLEWA NYUMBA YA UZAZI KUTOKANA NA TISHIO LA SARATANI........Kuweza kusema hili hadharani kutawaokoa wanawake wengi
Muigizaji Angelina Jolie amelazimika kutoa mishipa ya
kupitisha mayai na vifuko vya mayai baada ya uchunguzi kuonesha kuwa alikuwa
katika hatari ya kuathirika na saratani ya nyumba ya uzazi.
Picha: SEBULE YENYE MANDHARI RAFIKI KWA WATOTO
Sebule kama hii ni rafiki kwa watoto na hata kwa watu wazima. Je, wewe una nini kwenye sebule yako ambacho watoto wanavutiwa nacho zaidi..Kwa kila decor ililopo kwenye sebule hii bonyeza read more..
Subscribe to:
Posts (Atom)








































