POLISI
wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata
ya Mtandi, Daudi Pilipili kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri
wa 13.
Alisema
siku ya tukio mzee huyo alimkamata mjukuu wake na kumwingiza chooni huku
akimweka vitambaa mdomoni asitoe sauti na alipomaliza kitendo chake hicho cha
kinyama alimpatia mtoto Sh 2,000 ili asitoe siri kwa wazazi wake.
Inadaiwa
watoto wenzake ndio waliotoa taarifa hiyo baada ya kushuhudia kitendo hicho
kikifanyika na polisi kutaarifiwa.
No comments:
Post a Comment