Wanyongwa kwa kufanya ushirikina China
Zhang Lidong
Wanachama wawili wa kundi la
ushirikina nchini Uchina wamenyongwa kwa madai ya kumuua mwanamke mmoja katika
mkahawa wa McDonald's.
Mwanamke huyo alichapwa na wanachama
wa kundi hilo, linalojulikana kama kanisa la Mwenyezi Mungu, baada ya kukataa
kuwapa nambari ya simu yake.
Mashambulizi hayo yalitokea katika
jimbo la mashariki mwa Shangdong Mei mwaka jana.
Macdonald
Vyombo vya habari vya Kichina
vimesema wanachama hao wa ushirikina waliyouawa ni baba na binti yake.
Kanisa hilo linaamini kuwa yesu
alifufuka kama mwanamke wa kichina
No comments:
Post a Comment