Saturday, January 9, 2016

PICHA: NYUMBA YA MWANAMUZIKI MADEE

"Hii nyumba ipo Mbezi na tayari nimeshahamia. Hii ni ya kwanza bado kuna moja naimalizia, nawaonyesha  makusudi ili kuwatia hasira kwani vijana wanachezea pesa bila kuwekeza au kujua kuna kesho", amesema Madee Chanzo: Bongo5

No comments:

Post a Comment