Shangaa ya dunia donuts zilizopakwa dhahabu. Ni ajabu watu wanakula "gold donuts" wakati wengine wanakufa njaa. Mimi ningeziacha kwa mapambo...sijui zingeoza! photo credit: todayshow
Sikukuu zimeisha ni wakati wa green tea kusafisha mwili. Harufu ikinishinda huwa napikia na mchaichai
Nimependa huu msosi kwani wengi wakila nyama choma hawahusishi na matunda. photo cerdit: ig ya missytemeke
Niambie leo unakula nini lunch..
No comments:
Post a Comment