Friday, January 15, 2016

PICHA:...RANGI YA PAA NI KIPENGELE MUHIMU KATIKA MUONEKANO WA NYUMBA

 Rangi ya paa inashiriki sehemu kubwa katika kuleta mvuto wa nyumba.
Kuna wakati rangi ya paa inatakiwa kuendana na baadhi ya maeneo ya ukuta ili kutengeneza ujirani wa rangi.
Pia kuna wakati paa linatakiwa liendane na nakshi za nje ya nyumba.

Nawe msomaji wangu usisite kunishirikisha rangi ya paa la nyumba yako na kwanini ulichagua rangi hiyo..ukishea ujuzi unajisikia vizuri.


No comments:

Post a Comment