Tuesday, March 31, 2015

Binti wa Kida Waziri na Marehemu Hemed Maneti kurudia nyimbo za wazazi wake

KOMWETA MANETI
MTOTO wa aliyekuwa nguli wa muziki wa dansi nchini, Hemedi Manet (marehemu kwa sasa), Komweta Maneti, anatarajia kukamilisha nyimbo mbili na video zake kuzifanyia Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mwanamuziki huyo ambaye anafanyakazi na bendi ya Vijana Jazz, alizitaja nyimbo hizo ambazo ziliwahi kuimbwa na mama yake, Kida Waziri na baba yake, Hemed Manet ni ‘Wifi Zangu’ na ‘Tambiko la Pambamoto’.
CHANZO MTANZANIA

No comments:

Post a Comment