Tuesday, March 24, 2015

PAVING BLOCKS......HUWA NAVIITA VITOFALI..........NI NJIA YA FASTA ZAIDI YA KUKAUSHA MAJI CHINI PALE MVUA ZINAPONYESHA

Kipindi hiki cha masika uchepechepe ni kwa wingi, ila ukiwa na sakafu yenye vitofali kero hii inakuwa imeondoka kabisa.
Hasa unapopatia fundi anayeweza kutengeneza slope nzuri utafurahi kwani anaelekeza maji kunako. Mvua ikikatika baada ya dakika tano kila pahala penye paving panakuwa pakavu.

No comments:

Post a Comment