Sunday, March 29, 2015

PICHA: MATEMBEZI YA KUPINGA VITA MAUAJI YA ALBINO JIJINI DAR LEO................KAMPENI HII INAITWA IMETOSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment