Friday, March 27, 2015

PICHA: ....AJALI YA LORI LILILOGONGA TRENI KARUME JIJINI DAR LEO


 Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 535 CCT mali ya Kampuni ya Coast Millers Limited watengenezaji wa Unga wa Ngano wa Nyati, likiwa nje ya barabara ya Kawawa eneo la Karume mara baada ya kuigonga Treni ya TRL mapema leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment