Sunday, March 29, 2015

PICHA: Jinsi unavyoweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu..

Unaweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu kwa kutumia picha na fremu za ukutani za ukubwa na michoro tofautitofauti, na pia kwa kutupia mito ya makochi ya rangi mbalimbali. Unaona kama kwenye hiyo sebule hapo zulia jeupe, kochi la kijivu na ukuta wa cream ungefanya sebule ipooze. Lakini rangi za mito na picha ukutani zimeifanya changamfu. We unaonaje? 
Picha toka mtandao wa house to home.

No comments:

Post a Comment