Saturday, March 28, 2015

PICHA: NYUMBA ZA NHC ZINAZOJENGWA KATIKA WILAYA MBALIMBALI NCHINI................NYUMBA ZIKISHAKAMILIKA ZINAUZWA KWA MWANANCHI ANAYEHITAJI

Nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji.

Nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Isikizya Wilayani Uyui mkoani Tabora
Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma
Chanzo: Dewji Blog

No comments:

Post a Comment