Thursday, March 26, 2015

MAKABATI YA JIKONI......TUKIWA TUNA MBAO ZETU ZA MITI YA MNINGA NA MKONGO NI KWANINI WENGI WANAPENDA MCHINA..?


Kwa kijiutafiti changu nilichofanya, wanaojenga nyumba za kisasa wengi wanaweka makabati ya jikoni imported, ambayo siyo hardwood. Sasa tukiwa na our own mkongoz na mninga why hatuweki kabati za hizi mbao ambazo ni kwa lifetime. Badala yake tunakimbilia imported. Nini tatizo...mafundi, bei ya mbao, kutokujua ama nini...

No comments:

Post a Comment