Tuesday, March 24, 2015

PICHA. LOWASSA AKIWASINDIKIZA WACHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE WALIOMTEMBELEA NYUMBANI KWAKE



Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akiwasindikiza Wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste kutoka mikoa mbalimbali nchini baada ya kufika nyumbani kwake mjini Dodoma jana kumshawishi achukue fomu za kugombea urais wakati ukifika. PICHA: SELEMANI MPOCHI

No comments:

Post a Comment