Kundi la madaktari wa upasuaji kutoka Afrika kusini
limefanikiwa upandikizaji wa uume wa mwanadamu.
Oparesheni hiyo iliochukua masaa manane ilifanywa mnamo
mwezi Disemba katika hospitali ya Tygerberg mjini Cape Town kupitia ushirikiano
wa chuo kikuu cha Stellenbosch.
Inadaiwa kuwa ni jaribio la pili la upasuaji huo kufanywa.
Madaktari wanasema kuwa mgonjwa aliyefanyiwa
upandikishaji huo amepona.
Uume wake ulikatwa baada ya matatizo yaliosababishwa na
kupashwa tohara.
Chanzo: Daily Sun
No comments:
Post a Comment