CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU),
wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, kimeendelea kuitikisa halmashauri ya wilaya
hiyo kikimtuhumu mkurugenzi wake kutoa zawadi ya bahasha tupu kwa watumishi
wake 16 bora wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, Mei Mosi.
Wednesday, May 6, 2015
I am sure Zari loves her kids as any mother does....Johanna HK
![]() |
| Johanna HK |
Nimekutana na hii makala ikanifurahisha nikaona ni vizuri niwashirikishe.
I think Zari knows what she is doing, and its people who don't see far who don't understand her moves. This lady is not a teenager who is looking to have fun with boyfriends. She has experiences and life has taught her many lessons. She has had money
I think Zari knows what she is doing, and its people who don't see far who don't understand her moves. This lady is not a teenager who is looking to have fun with boyfriends. She has experiences and life has taught her many lessons. She has had money
Wabunge wamtimua tena Nyalandu....Bajeti hatarini kutopitishwa
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii iko hatarini
kutopitishwa, baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Mazingira kukataa kwa mara pili kuijadili.
Wabunge wa Kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake,
James Lembeli,
Mvua zitakoma mwisho wa mwezi huu
MVUA za masika zinazoendelea kunyesha zinatarajiwa kukatika
mwishoni mwa mwezi huu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda ndiye meya bora barani Afrika......Pamoja na vitu vingine amepewa pesa taslimu Sh Milioni 200
MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda amekabidhiwa
tuzo ya kuwa meya bora barani Afrika.
Tuzo hiyo alikabidhiwa jijini Dar es Salaam jana na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia.
Tuesday, May 5, 2015
Lady Jaydee sio mkikuyu
MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, ameweka wazi
kwamba yeye ni Mtanzania na si Mkikuyu kutoka Kenya kama baadhi ya mashabiki wa
muziki kutoka nchini humo wanavyomdhania.
MKULIMA ALIWA NA SIMBA AKIWA SHAMBANI KWAKE TANGA......KATA SHAMBA LILIKO INAPAKANA NA HIFADHI YA MKOMAZI
MKULIMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Mlima kilichopo Kata ya
Mwakijembe, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, Silyvester Msubari, amefariki dunia
baada ya kuliwa na simba.
WAGIRIKI WATATU NA MTANZANIA MMOJA KORTINI KWA KUGUSHI MHURI WA IGP....WOTE WAMESHINDWA MASHARTI YA DHAMANA NA KURUDISHWA RUMANDE.....MTANZANIA HUYO NI MFANYAKAZI WA AIRTEL
Raia watatu wa Ugiriki na Mtanzania mmoja wamepandishwa
kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la
kughushi muhuri wa Mkuu wa Jeshi Polisi
Nchini (IGP).
Washtakiwa hao ni
Lalvin Kawa mfanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Airtel,
Chenge atinga kortini na mawakili 10
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, amefungua
kesi ya kikatiba dhidi ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma na maazimio ya
Bunge kuhusiana na malalamiko ya ukiukaji wa maadili ya uongozi.
Chenge, anatuhumiwa kupokea
Monday, May 4, 2015
PICHA: Mafuriko Zanzibar kutokana na mvua kubwa iliyonyesha leo
Maeneo ya Mpendae na baadhi ya maeneo Zanzibar nyumba
zikiwa zimefurika maji kutokana na mvua kubwa zilizonyesha leo.
VIJIMAMBO
Mgomo tena....Madereva wamesema leo hakuna basi barabarani nchi nzima
Takribani siku 22 zikiwa zimepita tangu madereva wagome
kutoa huduma za usafiri nchi nzima, leo wametangaza mgomo mwingine kutokana na
ukimya dhidi ya madai yao kwa serikali.
Madereva hao jana walitoa tamko la
Interesting......This caught my eye just kwa sababu na mimi nafua nguo..
Ni kwamba ni hivii: Huyu kaka anaitwa Brody Jenner ambaye ni mtoto wa Bruce Jenner (yule mbabu aliyesema "I am a woman") ameenda kumchukulia mdada anaitwa Kaitlynn gauni lake drycleaning.
Sasa paparazzi wakamuona amebeba gauni wakamtwanga picha, waandishi wakaenda kuandika habari na kichwa cha habari kuwa Je, Brody Jenner anamnunulia dad yake gauni?
Kwa hivyo imenichekesha jinsi ambavyo jambo limegeuzwa kiaina...na hii yote naona ni kwa ajili amebeba hili nguo vibaya. Kusema kweli gauni limetoka kufuliwa na kunyooshwa halibebwi hivi kama kifurushi. Siku ukimtuma mwanaume akachukue nguo drycleaning ujue ndio hasara utakayoipata kwa ubebaji huu nguo inaweza kufika nyumbani ukaanza kunyoosha tena.
Baada ya Brody kusoma hiyo habari ndio akaenda instagram akamwandikia aliyemwagiza hivi:
ππππππ this shit is too funny. @kaitlynn_carter look what happens when you make me pick up your dry cleaning!!
Sasa paparazzi wakamuona amebeba gauni wakamtwanga picha, waandishi wakaenda kuandika habari na kichwa cha habari kuwa Je, Brody Jenner anamnunulia dad yake gauni?
Kwa hivyo imenichekesha jinsi ambavyo jambo limegeuzwa kiaina...na hii yote naona ni kwa ajili amebeba hili nguo vibaya. Kusema kweli gauni limetoka kufuliwa na kunyooshwa halibebwi hivi kama kifurushi. Siku ukimtuma mwanaume akachukue nguo drycleaning ujue ndio hasara utakayoipata kwa ubebaji huu nguo inaweza kufika nyumbani ukaanza kunyoosha tena.
Baada ya Brody kusoma hiyo habari ndio akaenda instagram akamwandikia aliyemwagiza hivi:
ππππππ this shit is too funny. @kaitlynn_carter look what happens when you make me pick up your dry cleaning!!
Sunday, May 3, 2015
Kutana na Evelyne Rugemalila, mbunifu anayetamba kuwang'arisha vibonge
Kwa wafuatiliaji wa masuala ya mitindo na wanamitindo wa
ndani, Evelyn Rugemarila si jina geni masikioni mwao. Kupitia lebo yake ya Eve Collections,
Evelyn ameingia kwenye orodha ya wabunifu wa mavazi ya wanawake wanaofanya
vizuri kwa sasa nchini Tanzania.
“Siku zote nimekuwa naamini
MWANDOSYA: Mungu ameniponya niwatumikie Watanzania.........Amesema ni mwanasiasa pekee MWENYE BAHATI KUBWA ya kuzushiwa kifo mara tatu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark
Mwandosya, amesema kitendo cha kuzushiwa kufa mara tatu na kunusurika kufa
akiwa anaumwa kimeonesha jinsi Mungu
anavyompenda na kuthamini kazi yake kwa Watanzania.
Akifafanua mambo mbalimbali aliyoulizwa kuhusiana na
kuonekana akiwa mkimya,
SHEMEJI UNATUACHAJE?
Walimu wamebeba bango hili linalouliza swali kwa raisi Kikwete "shemeji unatuachaje" walimu wako so funny....unadhani kwanini walimwita shemeji?
Kutoka Mtanzania
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitumia kuzungumzia
mambo mbalimbali ya kitaifa pamoja na madai na maombi ya wafanyakazi, Rais
Kikwete alizungumzia moja ya mabango yaliyokuwa yamebebwa na walimu
lililosomeka ‘Shemeji unatuachaje,’ kwa kueleza kuwa maadhimisho hayo ya Mei
Mosi ya mwaka huu ni ya mwisho akiwa madarakani, hivyo mambo ambayo
hajayatekeleza yataendelea kufanyiwa kazi na mrithi wake.
BOMU LIMEJERUHI WATU WATANO MOROGORO
Watu watano wamejeruhiwa katika tukio linalodaiwa kuwa la
kigaidi baada ya kulipuliwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu. Tukio hilo
inasemekana kutokea siku ya maadhimisho ya Mei mosi, katika kijiji cha Msolwa
ujamaa, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
Aidha, tukio hilo limetokea karibu na eneo ambalo siku
chache zilizopita, jeshi la polisi lilikamata watu 10
PICHA: Malkia mpya ni mnono....
Binti mfalme aliyezaliwa jana wa Kate na William
Inaonekana ni tradition ya hii familia kupiga picha hivi na kichanga mbele ya wasubiriaji mwali akishatoka kujifungua...Ni utamaduni mzuri kulikoPICHA: Beyonce na Jay Z walipohudhuria pambano la ngumi kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao.....Mpambano huu ulisubiriwa na kushuhudiwa na wengi....Mayweather aliibuka kidedea
Beyonce and Jay Z attended the Manny Pacquiao vs. Floyd
Mayweather fight. Here is a real photo of them taken at the scene.
Mnaofanya biashara zenu chini ya njia kubwa za kusafirishia umeme mko hatarini kupungukiwa na nguvu za kiume.....Au kama ni mjamzito kuharibu mimba....Ni kutokana na mionzi
WAFANYABIASHARA
wadogo na waendesha bodaboda wanaofanya biashara zao kwenye njia kubwa za
kusafirishia umeme wapo hatarini kupungukiwa nguvu za kiume.
Kutokana
na kuwepo wengi kwenye njia hizo kubwa za kusafirishia umeme,
Saturday, May 2, 2015
Mke wa aliyekuwa nahodha wa Man U, Rio Fernand amefariki dunia kwa saratani ya titi
Mke wa aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Manchester United
pamoja na timu ya Uingereza Rio Ferdinand amefariki kutokana na saratani.
Njia 7 rahisi kabisa za kufanya chumba kidogo kionekane kikubwa....Ipo ya kuweka vioo, TV ukutani na rangi sawa ya dari na kuta..
With these seven easy tips you can make your room seem bigger.
1. Use Natural Light
Everywhere, as much as possible. Natural light brings
more dimension and an airiness that can’t be duplicated by electricity, so
bring it in as much as possible. Don’t block windows and use semi-transparent curtains to let in the light.
2. Reflect On Mirrors
It’s one of the oldest tricks in the book, but one of the
most effective. Be liberal with your use of mirrors throughout your home, and
even install mirrored closet doors. By using large or floor to ceiling mirrors and strategically
placing them to reflect windows or other rooms, you trick the eye into thinking
a room is larger than it is.
ULIMWENGU WA MACELEB: David Beckham asheherekea birthday yake ya kutimiza miaka 40 kwa kujiunga instagram....Mkewe amkaribisha
victoriabeckhamSo excited to be spending this special day with David and the kids in Marrakech! Welcome to Instagram @DavidBeckham! x vb#DB40
ULIMWENGU WA MACELEB: Kate Middleton Kajifungua Mtoto wa Kike...Mtoto Bado Hajapewa Jina
Prince William and Kate Middleton's second child has been
born. The girl was born in St Mary's hospital in the west of London and is
fourth in line to the British throne.
Raisi Kikwete amesema hakuna ajira serikalini.....Msiokuwa na ajira elekezeni nguvu zenu kwenye sekta binafsi
Rais Jakaya Kikwete, amesema serikali haina nafasi za
ajira kwa sasa na kuwataka watu wasio na ajira kuelekeza nguvu zao katika sekta
binafsi.
Akihutubia sherehe ya
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akemea ngoma za vigodoro, chipsi na simu kwa wanafunzi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, amewataka
wazazi kuwa na tahadhari na ngoma za
vigodoro, chipsi kuku na simu za mikononi baada ya kuonekana kuwa vyazo vikuu
vya wanafunzi wa kike kukatisha masomo na kupata mimba.
Akizungumza katika
Msanii Ali Kiba avamiwa na watu wanaosadikiwa ni majambazi nyumbani kwake Kunduchi usiku wa kuamkia leo....Walikuwa 20
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo
akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu
wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.
Mkulima ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka binti yake......Alimpeleka nyumba ya kulala wageni ndipo akambaka kwa nguvu
Mkulima wa Kijiji cha Waama, wilayani Hanang’ mkoani
Manyara, Pachal Yoya amehukumiwa jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya
kufanya mapenzi na mtoto wake.
Mkulima huyo anadaiwa kufanya
Wateja wa Luku wazidi kutaabika......Tanesco imesema kuwa huduma zinaendelea kupatikana vituo mbalimbali vya MAXCOM, ATM za CRDB na NMB
Wakati wateja wa umeme wamendelea kutaabika, Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO), limetoa malekezo zaidi ya namna ya upatikanaji wa
huduma hiyo kwa urahisi.
Taarifa ya Tanesco imekuja baada ya tatizo lililojitokeza
kwa baadhi ya mawakala wa Luku kushindwa
Friday, May 1, 2015
Snura amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwakuwa ameshagundua makosa..
MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva,
Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa
ameshagundua makosa hayo.
SELCOM YAZUILIWA KUUZA LUKU KWA KILICHODAIWA NI UBABAISHAJI KATIKA KUTOA HUDUMA
Clinton ziarani Tanzania.....Ndege yake yatua kwa dharura...Ilipata hitilafu angani
Ndege iliyokuwa imembeba rais mstaafu wa Marekani, Bill
Clinton na mwanaye Chelsea, juzi ilipata hitilafu katika moja ya injini zake na
kulazimika kutua Dodoma kwa ajili ya matengenezo kabla ya kuendelea na safari.
Ndege hiyo aina ya DHC 7 yenye namba za usajili 5Y-CDK,
iliyokuwa ikitokea
Mahakama imemuamuru mbunge Abdallah Sharia Ameir wa Dimani Zanzibar kutoa sh 200,000 kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto aliyemtelekeza
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru
Mbunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) kutoa Sh
200,000 kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake wa kiume, mwenye umri wa
miaka mitatu na nusu, anayedaiwa kumtelekeza.
Katika mahojiano ya Diamond na Zari kwenye Clouds TV amesema kuwa wanatarajia mtoto wa kike,watafunga ndoa mwaka huu na Zari hajajua bado jina la mtoto ila litakuwa la kuvutia la kiislam
Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One
Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.
STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz' amefunguka kuwa tayari
Muonekano wa Kabati la Vyombo
Kama
una chumba rasmi cha kulia chakula na kina nafasi ya kutosha, uwezekano ni kuwa
tayari una kabati la vyombo kama sehemu ya muonekano mzima wa chumba hicho,
kwani kwa asili kabati la vyombo linawekwa kwenye chumba cha kula chakula.
Ingawaje kabati hili linakusaidia kuhifadhi vyombo vyako vya thamani kwa pia ni
pambo kwenye chumba cha chakula.
Heri ya Mwezi Mpya Wasomaji Wangu
Leo sio siku mpya tu bali ni siku maalum ya mwezi mpya wa Mei. Tuendelee kusukuma gurudumu la maisha kama wasemavyo waungwana.
Usikate tamaa mazuri bado yapo njiani yaja.
Vivi
Usikate tamaa mazuri bado yapo njiani yaja.
Vivi
Subscribe to:
Posts (Atom)














































