1. Sofa
Kitu cha
kwanza cha ndani ya nyumba wenye nymba au vijana wanaoanza maisha wanachonunua
mara zote huwa ni sofa. Ndio hapo watakapokaa kuangalia TV na wageni nk. Kumbuka hapa TV inakuwa bado haijanunuliwa.
2. Kizulia
Carpet nzuri na
linalotunzwa linaweza kudumu muda mrefu sana. Hata kama likichoka sebuleni
unalihamishia chumbani - hadi siku moja
utakapoamua kuligawa. Kwa hiyo inalipa kwa miaka ijayo kuwekeza kwenye zulia
imara sasa.
3. Picha/sanaa za ukutani
Kwa baadhi inaweza
isiwe muhimu ila ni kitu rahisi sana kwahivyo si mbaya ukapendezesha ukuta wako
mahali unapoanzia maisha.
No comments:
Post a Comment