Saturday, January 17, 2015

---vitu vizuri--- Hizi fremu ni cute kwa ajili ya picha za familia

fremu hizi zinafaa kuwekwa kwenye chumba chochote nyumbani, kama ni jikoni  au dining unaweza kuweka michoro/picha za matunda, juice na vyakula









No comments:

Post a Comment