MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na maofisa wa
Jeshi la Polisi jana walijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa
mawe na vijana waliokuwa wamejazana katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini
Dar es Salaam.
Makonda na maofisa hao, walifika eneo hilo kwa nia ya
kuwaomba madereva wa mabasi yaendayo mikoani kusitisha mgomo waliouanza juzi.
MTANZANIA
No comments:
Post a Comment