Sunday, May 31, 2015

Flaviana Mambo Yake Yazidi Kumnyookea

Mwanamitindo afanyaye kazi zake za uanamitindo nchini Marekani, Flaviana Matata amekuwa akifanya kazi mbalimbali za kuonyesha mavazi jukwaani
sambamba na matangazo ya mavazi na safari hii amefanya na NewYork & Company kwa ajili ya mavazi ya majira ya joto.



No comments:

Post a Comment