Sunday, May 31, 2015
ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 9......ALIMKAMATA KWA NGUVU AKAMWINGIZA CHUMBANI KWAKE NDIPO AKAMBAKA
Mkazi wa Malampaka mkoani Simiyu, Benedictor Bulobo (30)
, ametupwa gerezani atakakotumikia kifungo kwa miaka 30 baada ya kupatikana na
hatia ya kumbaka binti wa miaka tisa.
Alihukumiwa
Alihukumiwa
MTOTO WA MIEZI MITATU ANYAKULIWA NA FISI AKIWA MGONGONI KWA MAMA YAKE
Watu wawili wamefariki dunia mkoani Simiyu katika matukio
tofauti akiwamo mtoto wa miezi mitatu aliyenyakuliwa na fisi akiwa mgogoni mwa
mama yake.
Flaviana Mambo Yake Yazidi Kumnyookea
Mwanamitindo afanyaye kazi zake za uanamitindo nchini Marekani, Flaviana Matata amekuwa akifanya kazi mbalimbali za kuonyesha mavazi jukwaani
Lowassa Atangaza Nia ya Kugombea Uraisi
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye pia ni waziri mkuu wa zamani wa Tanzania, akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi ya CCM mkoa wa Arusha. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Bw.Onesmo Ole Nangole.
Kinyang’anyiro kwa kuwania uteuzi wa kugombea urais kwa
tiketi ya chama tawala cha CCM nchini Tanzania, kimepamba moto kwa
kwa staili ya aina yake .
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye pia ni waziri mkuu
wa zamani wa Tanzania Jumamosi amejitokeza
Saturday, May 30, 2015
Idadi ya watoto wanaozaliwa Ujerumani imepungua kuliko nchi zote duniani
Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Ujerumani imepungua
zaidi ya mataifa yote duniani.
Utafiti umeonesha kuwa idadi ya watoto wanaozaliwa nchini
Ujerumani ndiyo ya chini zaidi duniani na sasa kunahofu kuwa kupungua kwa uzazi
kutaathiri pakubwa uwezo wa vijana kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi wa taifa
hilo tajiri zaidi barani Ulaya.
KUANDIKA WOSIA SIO UCHURO KAMA WENGI MNAVYODHANI..
Wazri Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote
wajenge tabia ya kuandika wosia ili kuondoa matatizo ya mirathi pindi mwenza au
mme anapoaga dunia.
Alitoa wito huo jana wakati akizindua kampeni
ya kuandika wosia
BIZARRE: Hata vibonge wana mvuto..
Jessamyn Stanley, 27, who lives in Raleigh-Durham, North Carolina, and posts to Instagram under the handle @mynameisjessamyn, has attracted more than 42,000 followers in the last two years sharing images of challenging forearm stands and intense back bends.
Jinsi ya Kuuteka Moyo wa Mwanamke
lol..hii makala ni ndefu ila hutajututia muda wako kuisoma..tunajifunza kila leo.
KATIKA ulimwengu wa
mapenzi, baadhi ya wanaume hujikuta katika wakati mgumu, kutokana na kushindwa
kuwashawishi wanawake hata wakawapata kimapenzi, iwe katika mapenzi ya kawaida,
au hata uchumba ambao hatima yake ni ndoa.
Ukweli kuhusiana na suala hili ni kwamba
vijana wengi wa siku hizi hawafahamu jinsi ya kukabiliana na wanawake, ama kwa
kuwa hawapati mafunzo ya kutosha kutoka kwa wazazi wao, au pengine kutokana na
wanawake wa sasa kuwa wajanja, kiasi kwamba wanawatisha na kuwakatisha tamaa
mapema.
Wednesday, May 27, 2015
Picha: Waziri mkuu Pinda alipotembelewa NYUMBANI kwake na mwanafunzi Albert
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mtoto Albert
Kanan wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Ilalangulu wilayani Mlele
ambaye alikwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu katika kijiji cha Kibaoni akiomba
kupiga naye picha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kama wewe ni mmoja wa wanaopenda vitu vizuri hizi hapa ni njia za gharama nafuu kabisa za kuboresha bafu lako
Haya wapendwa..kama una hela kidogo tu unaweza kufanya haya kupendezesha bafu lako..ila kama huna basi ridhika kubaki na bafu outdated..
1. Badilisha mfuniko wa choo, na hii huwa inauzwa peke yake bila bakuli..hata maduka kama game unapata.
Mmmh...Mwanasheria Kenya yuko tayari kutoa ng'ombe 50, kondoo 70 na mbuzi 30 ili amuoe Malia Obama
A Kenyan lawyer has offered US president Barack Obama 50 cows and other assorted livestock in exchange for his 16-year old daughter Malia's hand in marriage, a report said Tuesday.
Felix Kiprono said he was willing to pay 50 cows, 70 sheep and 30 goats in order to fulfil his dream of marrying the first daughter.
"I got interested in her in 2008," Kiprono said, in an interview with The Nairobian newspaper.
Tuesday, May 26, 2015
Mengi Hajaridhishwa na Majibu ya Ikulu Kuhusu Usalama Wake
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ameeleza
kusikitishwa dhidi ya majibu yaliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais
Ikulu kuhusu taarifa za kamchafua zilizochapishwa na gazeti la Taifa Imara
Machi 20, mwaka huu.
Dk. Mengi, alisema
INASIKITISHA SANA! Mtoto Alawitiwa na Kuuawa Kilimanjaro....Kisha Akakatwa Sehemu za Siri
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani |
WATU watatu wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro, katika
matukio matatu tofauti, likiwemo la mtoto aliyetambulika kwa jina la Faterine
Massawe (14) kulawitiwa na kuuawa kikatili, kisha kukatwa sehemu zake za siri
na ulimi na watu wasiojulikana.
Monday, May 25, 2015
Lowassa amesema haya leo nyumbani kwake Dodoma katika mkutano na wahariri wakuu wa vyombo VYOTE vya habari
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha
wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao
mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi
Lowassa amesema yafuatayo;
1: Amesema hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio
sababu hata
Mwigulu Nchemba Ajiuzulu
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Bw.
Mwigulu Lameck Nchemba amejiuzulu kuanzia jana na nafasi yake kuchukuliwa na Mshauri wa
Rais Jakaya Kikwete katika masuala ya Kisiasa, Bw. Rajabu Luhwavi.
Bw. Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri
Madiwani washtukia ndoa feki za walimu...Baadhi ya walimu wa kike wanagushi vyeti vya ndoa kuwa wameolewa na wanawafuata waume zao mjini
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani
Tanga, wamesema tatizo la upungufu wa walimu kwenye shule za msingi zilizopo
vijijini kunachangiwa na walimu hasa wa kike kutaka kufundisha mjini.
Walisema baadhi ya walimu wa kike wamekuwa wakighushi
vyeti vya ndoa ili
Askofu Gwajima, Flora Mbasha Waibukia CHADEMA
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,
jana aliibukia kwenye mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Jimbo la Kawe, Dar es Salaam.
Mkutano huo ulikuwa wa uzinduzi
Mgombea uraisi CCM kujulikana July 12...Wagombea watachukua na kurudisha fomu bila shamrashamra
MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba
kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.
Sunday, May 24, 2015
Inasikitisha! MKE NA MUME WAUAWA KWA KUCHINJWA KAMA KUKU
Watu wawili, mke na mume wakazi wa Makambo, wilayani Mlele, wameuawa kikatili
kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili wakati wakiwa wamelala.
Zitto amechukua fomu za kugombea ubunge Kigoma Mjini....Amesema ameshatimiza kila kitu Kigoma Kaskazini kwa hivyo haoni sababu za kuwawakilisha tena
Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi
ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa
chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma
Mjini.
Uamuzi huo wa kulitaka jimbo
ULIMWENGU WA MACELEB: Hili begi/pochi angeibeba mwanaume wa kibongo ungemwelewa?
floydmayweatherMe and @dejuanblake headed to Seattle, WA on#AirMayweather to pick up some $$$$. No luggage. Just my Diamond Hermes Hac 50 Ostrich Money Bag.
Saturday, May 23, 2015
Adebayor amepewa mapumziko aende akasuluhishe mgogoro na familia yake
Mchezajii wa kilabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor
amepewa mapumziko kwa mara ya pili msimu huu lakini hatma yake katika kilabu ya
Spurs haijulikani.
Mchezaji huyo wa taifa la Togo mwenye umri wa miaka 31
ameandika kuhusu matatizo ya famili yake katika mtandao wa facebook na kusema
kuwa alikuwa ameamua kujiuua.
Selasini ajipalia mkaa kuhusu wanawake Rombo na pia ombi la gongo ihalalishwe
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini |
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amejipalia makaa kwa
kukanusha taarifa za wanaume wa jimbo hilo
kupoteza nguvu za kufanya tendo la ndoa kutokana na ulevi. Pia kauli ya
kumtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda atumie nafasi yake kuhalalisha biashara ya
pombe haramu ya gongo kwa madai kuwa inawaingizia kipato watu wa hali ya chini
imelaaniwa.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro,
PICHA: Mtoto "anapolianzisha" mbele ya raisi Obama..
Hebu fikiria jinsi unapokuwa kwenye hadhara iliyotulia, kwa mfano kanisani halafu mtoto analianzisha..unajisikiaji watu wote kimya mwanao tu ndio kacharuka kwenye kadamnasi. Sasa huyu kaamua kabisa mbele ya raisi wa dunia..utoto raha sana.
Waliokacha JKT bila ridhaa ya jeshi upo uwezekano wa kwenda mwezi ujao - HUSSEIN MWINYI
Waziri wa Ujenzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi |
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein
Mwinyi amesema vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2013/14, 2014/15
na kutojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) bila ridhaa ya jeshi
hilo, wanaendelea kusakwa na kuorodheshwa kwenye orodha ya watoro na upo
uwezekano wa wao kwenda mafunzo hayo mapema mwezi ujao.
Watu watano wamekamatwa na viungo vya albino wakiwa wanavitafuatia soko
Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga, imewakamata watu
watano wanaotuhumiwa kukutwa na viungo vya mtu mwenye ulemavu wa ngozi
(albino), wakiwa katika harakati za kuviuza.
Akizungumza
Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa kumtukana raisi wa Zanzibar na makamu wake
Taarifa rasmi ya CCM kuhusu kikao cha kamati kuu
Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya
Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka
kanuni za Maadili na kupewa Onyo Kali, adhabu iliyodumu kwa kipindi
kisichopungua miezi 12.
Friday, May 22, 2015
Kama ulikuwa hujui, Michelle Obama ni Team Natural...Badala ya kutegemea madawa yeye nywele zake huwa anazinyoosha tu...Manaturalista hapo mtakuwa mmefurahi!
Although we don’t really need another reason to love our Michelle Obama, here’s another: she’s a naturalista!
Yes, you read correctly. Michelle Obama stopped chemically treating her hair years ago. Celebrity stylist Johnny Wright, who takes care of the FLOTUS’ tresses, recently discussed Lady O’s hair with The Root.
Instead of relying on chemicals, Wright says that he straightens Lady O’s hair with a flat iron. While he wouldn’t say for sure whether or not we’ll ever see Mrs. Obama stepping out rocking her natural ‘fro, Wright says that it’s definitely a possibility.
Njia tano za kupamba jiko lako..
Kama tujuavyo wanasema jiko ni moyo wa nyumba kwa hivyo lazima liwe na style..Hizi hapa ni njia 5 rahisi kabisa za kuleta mvuto huo..
1. Kwa kutumia sanaa
Art can bring sophistication to your kitchen. And if your
lacking color or texture, use art to bring those elements in.
2. Trays
You can use trays a number of ways. They are great for
displaying oils, candles, bottles, anything that looks messy on its own.
Yona, Mramba wamefunga utetezi mahakamani na sasa kinachosubiriwa ni hukumu....Ni katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7
WAZIRI wa zamani wa Wizara ya Fedha, Basil Mramba, Waziri
wa Nishati na Madini, Daniel Yona na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,
Gray Mgonja wamefunga utetezi na sasa wanasubiri hukumu ya mahakama.
MTOTO MIAKA 15 AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUMNYONGA MWENZAKE MIAKA 9....ZIPO TAARIFA PIA HUENDA ALIANGUKA GHAFLA SEBULENI
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwanafunzi
wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolla Hill, Judith Chomile (15)
kwa tuhuma za mauaji.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kumnyonga ndugu yake, Edrin
Mafwele (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Benard Bendel iliyopo
Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo lilitokea juzi usiku wakati watoto hao
walipokuwa nyumbani kwao.
Baba wa marehemu Edrin Mafwere aliyefahamika kwa jina la
Barnabas Mafwele, mkazi wa eneo la Kola, alisema jana kuwa mtoto wake
alinyongewa chumbani.
Aunty Ezekiel sasa ni mama Cookie..
UGONJWA WA AJABU MEATU....Dalili zake ni kuumwa kichwa, kikohozi kikavu, mwili kulegea, kuchanganyikiwa akili pamoja na kupoteza fahamu....Sampuli zimepelekwa Nairobi kwa uchunguzi..
IDADI ya wagonjwa ambao wameugua ugonjwa wa ajabu katika
kata 6 za wilaya ya Meatu mkoani Simiyu imezidi kuongezeka hadi kufikia 1,048.
Mganga Mkuu wa wilaya ya Meatu,
Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa..
Muimbaji mahiri Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa Anna Mdee, ambaye amefariki katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam, jana Jumatano alfajiri.
Filamu chafu za mabanda ya vichochoroni zinasababisha wanafunzi wasihudhurie shule
Migomo ya wanafunzi vyuo vikuu sasa imesambaa nchi nzima
VIKAO VIZITO VYA CCM KUANZA LEO....Ajenda muhimu katika mikutano hiyo ni ratiba ya uchaguzi pamoja na kuwapata wagombea wa chama hicho ngazi zote.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimejigamba kitatoka katika
vikao vyake muhimu vya Kamati Kuu (CCM) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)
vinavyoanza mjini hapa leo kikiwa imara kuliko hapo awali.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Chama
cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye wakati akijibu swali kuhusiana na vikao
vizito vya chama hicho vinavyoanza leo.
Nnauye alikuwa anaelezea maandalizi ya vikao vya kamati
kuu kinachotarajia kuanza leo na halmashauri kuu ambayo itaanza kikao chake cha
siku mbili kesho. Katibu huyo amesema
Wanawake wa Chechnya wazuiwa Kutumia WhatsApp
Kiongozi wa Chechnya, Ramzan Kadyrov |
Nimekutana na hii habari nikafurahi. Wanawake hao wamenyimwa kutumia whatsapp kutokana na binti wa miaka 17 aliyelazimishwa kuolewa..nilipost hii habari huko nyuma tatizo sijajua kuweka link ningeweka hapa..
Kiongozi wa Chechnya Ramzan Kadyrov amewataka wanaume
kuwazuia wake zao kutumia mtandao wa kijamii wa WhatsApp baada ya mada ya ndoa
ya lazima kusambaa katika ujumbe mfupi wa simu.
Kadyrov
amekaririwa akisema "wafungieni ndani, msiwaache wakatoka nje, kwa hiyo
hawatatuma chochote,"
Bwana
Kadyrov mapema aliunga mkono ndoa ya afisa wa Polisi kumwoa msichana wa miaka
17, japokuwa alikuwa tayari
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma shule za msingi Kenya Wamefukuzwa....Inadaiwa chanzo ni msuguano katika kuwaondoa wahamiaji haramu
Thursday, May 21, 2015
PICHA: Beautiful Miss Rwanda..
Kama Malia Obama vile...na yule wa Kagame pia.. |
Iga style ya kufunga kilemba |
Wanyarwanda wazuri jamani.. |
Doriane Kundwa, 19years old and student from the Northern
Province of Rwanda, was crowned as the MISS RWANDA 2015 beating 14 other
contestants. She was given a Suzuki Swift and will receive a monthly salary of
$1000 during her reign. She also became brand ambassador for telecommunications
company Airtel.
Subscribe to:
Posts (Atom)