Thursday, April 9, 2015

Basi la Happy Nation Lililokuwa Likitokea Dar Kwenda Mbeya Ladumbukia Kwenye Mtaro Eneo la Mikumi.....Watu Kadhaa Wahofiwa Kufariki Dunia

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro.

Ajali hiyo imetokea leo mchana ikiwa ni muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea leo ikihusisha magari matatu kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10.
Chanzo: GPL

No comments:

Post a Comment