Monday, April 20, 2015

PICHA: Obama na familia wakiwa matembezini kwenye park huko Virginia....kukaa white house inachosha inabidi kutoka kidogo

Yani kuna mdada kabisa sijui mtoto huyu, kwa ajili ya kumshikia Michelle mwavuli..? Halafu kiana bega linaweza kumuuma kwa ajili ni mfupi kumshikia mwavuli mrefu. Na wenyewe wamevaa raba matembezi, mshika mwavuli katinga mchuchumio..President Obama, Michelle and their girls hiked through Great Falls Park in Virginia for around 50 minutes until a light rain sent them packing.

No comments:

Post a Comment