Thursday, April 30, 2015

Wema: Kweli Nimeolewa

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza  utaa wa picha zake zilizozagaa mtandaoni  akiwa amavalia shera kwa kuweka wazi kuwa  ni kweli ameolewa.

Leo akiongea  na Soudy Brown kwenye U Heard  ya XXL Clouds FM,
Wema ameeleza kuwa Katika kipindi cha xxl cha yeye tayari ni mke wa mtu, na kwamba yeye na mwenza wake huyo  wameshafunga ndoa ya kikistso na  mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya kutoweza kupata na mtoto.  

Wema aliongeza kua mwisho wa mwezi wa tano watafanya party rasmi  kwani harusi yao iliusisha watu wachache sana .

Hongera sana Wema.


Bongo Movies

No comments:

Post a Comment