Wednesday, April 22, 2015

PICHA: Feni iliyounganika na taa

Ukifunga feni iliyounganika na taa unakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Feni kama hii inafaa sana varandani...unakaa umewasha feniyako na taa hapohapo huu feni ikikufukuzia mbu..

No comments:

Post a Comment