Wednesday, April 15, 2015

EU YAISHTAKI GOOGLE.....sijui ni kiashiria gani kwa sisi watumiaji wadogowadogo..

The European Union accused Google Inc on Wednesday of cheating competitors by distorting Internet search results in favor of its Google Shopping service and also launched an antitrust probe into its Android mobile operating system.

Muungano wa Ulaya umeishtaki rasmi kampuni ya google kwa utumizi m'baya wa soko lake kufuatia uchunguzi wa miaka mitano.

Kamishna wa ushindani katika muungano huo Margrethe Westager amesema kuwa ana wasiwasi kwamba kampuni hiyo ilikuwa na upendeleo ambapo ni kinyume na sheria zake za uaminifu.

Pia ilianzisha uchunguzi kuhusu mfumo wa Anrodid katka kampuni hiyo.

Kampuni hiyo ya mtandao imechukua wiki kumi ili kujibu mashtaka hayo.

Hakuna tamko lolote lililotolewa na kampuni ya Google.Muungano wa Ulaya huenda ukaipiga faini kampuni hiyo yenye thamani ya mabilioni ya dola.

BBC

No comments:

Post a Comment