Saturday, April 18, 2015

HAPPY BIRTHDAY WIFEY: David Beckham anamwambia mkewe


Front row ni David, Victoria na watoto wao wanne. Kwa bei ya macho japo sijui ya behind closed doors kwa maoni yangu naamini hii familia ni mfano wa kuigwa kwani pamoja na misukosuko yote lakini bado wameweza kushikamana pamoja kama familia na kulea watoto wao. Ila najiuliza watoto wa maceleb hawaendi shule..manake mara kama mara hawa watoto wapo kwenye matukio na wazazi wao.

Victoria Beckham was celebrating her 41st birthday on Friday and had her doting husband on hand to share the love.

The former England footballer took to Facebook to share a sweet photo of the pair of them hugging from years ago with the caption, 'happy birthday wifey'.
Victoria spent her birthday with her family and her hubbie and when the clan were most recently seen on Thursday they looked as happy as ever.


Read more: http://www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-3043897/Happy-Birthday-beautiful-woman-Eva-Longoria-shares-love-Victoria-Beckham-pair-reunite-LA.html#ixzz3Xe8FsoL6
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

No comments:

Post a Comment