Wednesday, April 1, 2015

Utunzaji wa bustani ya maua...............................majani ya canadian ni mazuri mno kuyaacha yashambuliwe na magugu

Katika muendelezo wa dondoo kutoka kwangu zinazohusu makazi, leo naongelea umuhimu wa kuong'olea magugu mwanzo wa masika. Kung'olea magugu inategemea na aina ya majani uliyootesha kwenye bustani yako. Yapo majani ambayo hayaonyeshi tofauti pale magugu yakiwepo, ila kwa majani ya canadian ni mazuri mno kuyaacha yakae na magugu.
Kipindi cha mwanzo wa masika magugu yanachomoza na ndio wakati mzuri wa kuyang'olea kwani kwakuwa mvua zinakuwa zimeshaanza kunyesha ardhi inakuwa laini. Ukishang'olea bustani itabaki na mapengo mapengo ambapo mvua zitakavyoendelea majani yataota na kufunga vizuri.
 Eneo la bustani  ambalo halina magugu
 Hapa kuna magugu..unayaona hayo majani mapana
Gardener aking'olea magugu

Kwa tip nyingine ya kuhusu makazi pita hapa kesho..

No comments:

Post a Comment