Mwanamuziki mwenye tuzo la kimataifa Akon amesema kuwa
hakuna hata mwanamuziki mmoja wa Kenya ambaye amemuomba kufanya naye
'kolabo'mara zote tano ambazo ameweza kuzuru Kenya.
Akon Hatahivyo ameliambia jarida la Mondayblues nchini
Kenya kwamba wasanii wa muziki barani Afrika pia wanafaa kuimarisha viwango
vyao ili kutoa changomoto kwa wasanii kama yeye ili kuweza kushirikiana nao.
Tamko la msanii huyo linajiri kufuatia madai kutoka kwa
wanamuziki wa Kenya kwamba hayuko tayari kufanya nao Kazi.
No comments:
Post a Comment