Beautiful First Family. Picha hii ya Obama na familia
yake na mbwa wao Bo na Sunny, kilichonifurahisha ni hiyo garden; hayo majani na
huo mti nyuma yao ulivyochanua. Hata
sisi hapa kwetu alhamdulilah mvua
imefanya kijani kikarudi na hata kama unataka
kuanzisha bustani wakati ni huu.
The Obamas looked exceptionally stylish today to attend
Easter service at Alfred Street Baptist Church in Alexandria, Virginia. The
White House released a photo of the first family, including the first dogs Bo
and Sunny, via Instagram with the caption "Happy Easter!"
Source: Huff post
No comments:
Post a Comment