PICHA: Meza hii ya chakula imepambwa kwa table cloth na runner kwa wakati mmoja
Unaweza kutumia kitambaa cha meza (tablecloth) na utepe wa meza (table runner) kwa wakati mmoja kama kwenye hii picha. Kinachotakiwa ni tandika kwanza table halafu juu yake ndio utupie runner.
No comments:
Post a Comment