Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif
Hamad (katikati) akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar
es Salaam alipohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
jana.
Ulinzi uliimarishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
ya Kisutu na watu waliofika kusikiliza kesi zao walilazimika kukaguliwa kwa
vifaa vya kutambua vitu hatari kutokana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwenda kusikiliza kesi ya wafuasi wa CUF.
MWANANCHI
No comments:
Post a Comment